Hawanaga kitu kichwani hao achana naoHao waliomshauri rais mpaka kufukiza hatua ya kujenga msikiti hapo Chamwino ni waislam kama wewe sasa usijidai wewe kuwa unaujua uislam kuliko wao.
Wasaidizi wa karibu kabisa wa Rais ni waislam na wanayo haki ya kuswali wakiwa eneo Lao la kazi.
Hahaha umekuja tena na aya za kitabu kitakatifu. Mkuu nenda kanywe maji ya baridi ili akili itulie.Unasema nini?
قَالَ: اتَّقِ اللَّهَ حَيْثُمَا كُنْتَ وأَتْبِعِ السَّيِّئَةَ الْحسنةَ تَمْحُهَا، وخَالقِ النَّاسَ بخُلُقٍ حَسَنٍ
Ibada ni popote hata chini ya mti, sio lazima jengo.Hahaha umekuja tena na aya za kitabu kitakatifu. Mkuu nenda kanywe maji ya baridi ili akili itulie.
Waislam wenzio Dodoma wamechagua jengo, na ni haki yao kwani sio lazima wawe na mawazo kaka ya kwako.Ibada ni popote hata chini ya mti, sio lazima jengo.
Hao wepesi waendelee na wepesi wao.We nzito Dodoma wamechagua jengo, na ni haki yao kwani sio lazima wawe na mawazo kaka ya kwako.
Haiwezekani kwa sababu sisi waislamu haturuhusiwi kuasidia ushirikinaHivi kwa jambo hili la wakristol kuwa saidia waislamu kujenga msikiti.Je kwa waislamu itawezekana kweli kutoa hela ili ijengewa kanisa?