JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati akizindua Majengo saba ya TAKUKURU Dodoma leo
•
“Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye Urais, Chato wana Ofisi ya TAKUKURU, mnajenga nyingine yanini? au ulifikiri nitafurahi ukisema Chato? mimi moyo wangu umeshakuwa Sugu, Spika anasema hakuna Ofisi Kongwa hiyo mliyotaka kujenga Chato mkajenge Kongwa” -JPM