JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Kaazi likwelikweSijui ni nani anawadanganya kuwa Magufuli hana werevu wa kuzitambua hila mbalimbali.
Watendaji wanatakiwa wafanye kitu Chato kwa sababu kinahitajika kufanyika, siyo kwa kujipendekeza kwa Rais. Tena ingekuwa ni vema jibu lile la Rais lingeambatana na barua ya onyo na kushushwa cheo kwa kosa la kutaka kumhadaa Mkuu wa Nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi umewadia!
Anajua wajinga wengi na media zinambeba.Jamaa MNAFIKI sana huyu. Anajua kweli kucheza na akili za majuha ili kuscore political points.
Labda akunye hadharani ndo utamjua sio mnafiki 🙄Jamaa MNAFIKI sana huyu. Anajua kweli kucheza na akili za majuha ili kuscore political points.
Hilo la uwanja hata mimi nikiwa raisi lazima nijenge runway kijijini kwetu siwezi kutoka Dar na magari mpaka miles away wakati runway haicost hata bilioni kumi.Kama rais ni mwerevu sana na hataki watu wajipendekeze kwake na chattle, basi aruhusu tu bunge lijalo lijadili kuhusu uwanja wa ndege chattle tuone kama bunge liliidhinisha ujenzi wake au nani alishurutisha kiwanja kijengwe kule. Magu anajua kwamba demokrasia haitakuwa upande wake siku zote na ndio maana hakuruhusu mpinzani ndani ya ccm. Mbona hakuwaambia wana-ccm wasijipendekeze kwake katika kumsimamisha mgombea mmoja tu kutoka ccm?
Labda akunye hadharani ndo utamjua sio mnafiki 🙄