Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

[emoji41]
FB_IMG_16065862891154884.jpeg
 
Dhumuni ni kumfariji baada ya kumfuta kazi ya uenezi ambayo ameprove failure kwa miaka mitano.

Polepole ameshindwa kufanya uenezi wa chama kuwavutia wanachama wapya hadi ikafika hatua chama kikabidi kichome pesa nyingi kuwanunua viongozi wa upinzani na kuchapisha kura feki ili kunusuru CCM isidondoke.
 
Dunia hii, Humphrey alipokua DC wa Ubungo bosi wake alikua Paulo. Aliandika mistari ya biblia kila siku kwenye Twitter yake. Mpaka alipoteuliwa kuwa mwenezi.
 
Maandalilizi ya kubadili katiba ukomo wa urais
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Ndg. Humphrey Polepole kuwa Mbunge Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Polepole ni Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM - NEC, itikadi na uenezi.

Nini kimelegwa hapa?View attachment 1637495

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
alipaswa amtoe kwenye hyo nafasi cku nyingi sana maana haiwezi ile nafasi anafaa tu awe mpinzani ili alete katiba mpya.
 
Naibu akiwa mwana FA
Nitashangaa Magufuli psychology doesn’t work that way. Huyo ajajifunza bado kuwa mwehu kwa sababu ya kutetea CCM wala kumsifia Magufuli personally.

It’s OK kujua maslahi ya wasanii ila kwenye hiyo nafasi Magufuli anategemea mtu wa kuinenea mema serikali kama Shonza alivyoipata kwa kukejeli upinzani na kuitukuza serikali bungeni na mitandaoni.

But then anything is possible
 
Si ajabu akawa waziri wa Katiba.
Atakuwa na jukumu la kurekebisha ile Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba na yeye akiwepo. Lengo ni kutoa ukomo wa ile mitano mingine
 
Unafiki mkubwa mnao Vijana wa CHadema. Mna vipimo vyenu ambavyo havina Standard. Polepole Ni yule Yule. Shida haendani na CHadema. Haropoki na kupinga pinga kama zumbukuku, ndo mnaona hafai. Nyie walamba viatu vya Mbowe ambaye Ni MUNGU MTU kwenu hamjioni kama wanafiki. Hivi wewe ukitulia pale restroom ambako kila mtu anaenda. Akili yako ikiwa imetulia unaweza Sema JPM ana unafiki wowote. JPM Ni namba Original. Hana hunafiki na mnajua ndo mana kila siku ujinga mnaongea.
Kila mtu sahv anaeongea kitu ambacho sio cha kukufurahisha ww ni chadema et ?

Kumbuka sijapinga uteuzi wake bali nimesema ni sawa pia
 
Sawa mkuu, lakini pia hii CCM ya Magufuli ilipitisha sheria mpya ya mtu mmoja kofia moja kwahiyo nafasi hiyo inakuwa wazi automatically
Navyofahamu nafasi ya uenezi taifa inakuwa wazi kwa misingi ya kazi ya idara ya uenezi ni ya kiutendaji pia ni kuwa msemaji wa chama. Na majukumu yake ni kazi ya muda wote. Yaani katibu wa NEC wa itikadi, siasa na uenezi anafanya kazi za kiutendaji muda wote.
Sio rahisi kuwa mbunge na katibu (mtendaji) mwandamizi wa chama kwa wakati mmoja.

Kuhusu nafasi mbili-mbili hili hakuna ukweli, as long as hufanyi kazi ya muda wote haina athari kuwa katika chama na kuwa mtumishi wa umma.

Mfano, Magufuli ni Mwenyekiti CCM taifa na ni Rais wa JMT. Uenyekiti sio kazi ya muda wote kama mtendaji (katibu).

Tabia Mwita wa Zanzibar ni makamu Mwenyekiti UVCCM taifa na pia ni mwakilishi na waziri kule Zanzibar. Kazi ya makamu Mwenyekiti sio ya muda wote.

Mwenyekiti UWT Dar-es-salaam pia ni Mbunge.

Mwenyekiti UWT Ilala pia ni Diwani.

Wapo wabunge wengi tu wana vyeo vya kisiasa. Wengine ni wajumbe wa halmashauri kuu na wengine ni wenyeviti wa jumuiya.

Mfano, Jerry Slaa, mbunge wa jimbo la Ukonga, Dsm ni mjumbe wa halmashauri kuu. Kazi ya MJ/H/KUU sio ya muda wote kama ya mtendaji (katibu). Hivyo haina athari ndio maana hajaiachia au kuachishwa.

Ukija kwenye watendaji (makatibu) wa CCM na jumuiya zake ndio huwa nafasi zao zinakoma mara baada ya kuwa wabunge au watumishi wa umma.

Pia kuna mfano wa aliyekuwa katibu wa UVCCM mkoa, anaitwa Asia Halamga. Nafikiri sasa ni Mbunge kundi la vijana. Nafasi yake ya ukatibu (utendaji ) imekoma.

Kwa mifano hiyo itoshe kusema inategemea na nafasi mtu aliyonayo kwenye chama ndio inaamua kama akipata uteuzi aachie.

Japo kuwa kuna nafasi za uteuzi ambazo unalazimika kuhama kimakazi hizi hata kama ulikuwa Mwenyekiti wa chama au jumuiya unaiacha nafasi hiyo mara moja japo sio ya muda wote.

Mfano mkuu wa mkoa wa Morogoro alikuwa Mwenyekiti wa CCM Arusha kama sijakosea. Baada ya uteuzi wake walifanya uchaguzi kiziba pengo hilo.
 
Magufuli anatengeneza team bungeni ya kubadili katiba ili kuondoa ukomo. Pole pole anayajua sana kujenga hoja. Tuweke uongo pembeni.
Inawezekana. Lakini Inawezekana pia ukomo usiondolewe. Watu wanasahau kuwa Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko Rais. Anaweza kung'atuka akabaki na uenyekiti. Akiwa Mwenyekiti anabaki na power base yake na Rais ( atakuwa wa CCM) atakuwa anaelekezwa tu. Baada ya miaka mitano, anafanya alivyofanya Putin, anauchukua tena urais wake.

Amandla...
 
Ngoja Nivae Magunia , nifunge na kuomba walao hizo 8 zilizobaki nami anione . Maendereo hayana chama
 
Back
Top Bottom