Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Fuatilia vizuri post zangu, kuna mahali nimemwambia kuwa alikuwa mjenga hoja mzuri zamani maana alikuwa neutral, sio sasa hivi akiwa kwenye ulaji, tena kwa serikali hii iliyoingia madarakani kwa kumwaga damu na wizi wa kura wa wazi hivyo.

Kwamba akijenga hoja sawa na unavowaza wewe hana tatizo, ila akitofautiana na wewe anakua ame-disqualify?
 
Baada ya kuratibu kazi ya ununuzi wa wapinzani na wizi wa kura kwa ufanisi mkubwa hatimaye chakubanga aukwaa ubunge.
 
Safi sana, ndo wadau wa maendeleo waone demokrasia yetu ilibyopevuka. Yaani katibu mwenezi anakuwa mbunge wa kuteuliwa nafasi maalum za Rais zinazohtaji wataalamu.
Rais huyu hahitaji wataalamu ndo alianza nao kuwatumbua muhula wa kwanza alipoingia tu madarakani baada ya kumaliza ndo akaanza tenguatengua za wa kwake aliowateua. Tumbuatumbua, teuateua/tenguatengua ndo success story!
 
Naomba unifundishe hizo mbinu na mimi nipewe teuzi...

natanguliza shukrani
Nenda Lumumba anza kutafuta connection kwanza. Umesoma lakini?Kuwa hata volunteer kitengo office ya katibu mkuu,mdogo mdogo habari zako zitafika kwa mwenyekiti. Anzia hapo kwanza. Then sasa julikana kwa public in a positive way in regarding of the country and how Magufuli is the best. Sambaza sumu kwamba Magufuli is the best. Elimu unayo lakini ?
 
Kwamba akijenga hoja sawa na unavowaza wewe hana tatizo, ila akitofautiana na wewe anakua ame-disqualify?

Sihitaji ajenge hoja zinazonifurahisha Mimi, bali ukweli wa hoja anayoijenga. Ngoja nikupe mfano mrahisi, Mimi ni mshabiki wa timu ya Manchester united, na sifurahi kabisa matokeo ya Bayern Munich, lakini siwezi kuukata ukweli kuwa Bayern Munich ni timu mahiri, na bora kimchezo kuliko Manchester united. Unakwama wapi kwenye hoja yangu.

Nakumalizia na mfano mzuri, mimi sio mshabiki wa Magufuli kwa lolote na wala simkubali kabisa. Pia ni mmoja ya watu wasiomkubali waziwazi hapa jukwaani. Lakini siwezi kupinga ukweli kuwa ni mchapakazi kwa asili, bila kujali matokeo ya uchapa kazi wake. Kirahisi hivyo yaani.
 
Angekuwa Polepole yule wa Katiba Mpya ningesema kapatia lakin polepole huyu wa CCM acha niseme ni sawa tu pia

Unafiki mkubwa mnao Vijana wa CHadema. Mna vipimo vyenu ambavyo havina Standard. Polepole Ni yule Yule. Shida haendani na CHadema. Haropoki na kupinga pinga kama zumbukuku, ndo mnaona hafai.

Nyie walamba viatu vya Mbowe ambaye Ni MUNGU MTU kwenu hamjioni kama wanafiki. Hivi wewe ukitulia pale restroom ambako kila mtu anaenda. Akili yako ikiwa imetulia unaweza Sema JPM ana unafiki wowote. JPM Ni namba Original. Hana hunafiki na mnajua ndo mana kila siku ujinga mnaongea.
 
Polepole waziri ajae. Tanzania kufanikiwa kisiasa ni rahisi sana. Yaani uwe mnafiki,uwe CCM ,umsifie Magufuli at any cost. Utetee CCM at any cost.

Yaani ufanye propaganda zote kuwa Magufuli kafanya maajabu ya kuipaisha Tanzania ndani ya miaka mitano.Hongera Polepole.

Hata ndoa yako mkashfu bwanako au sponsor. Au chama Pendwa mtukane mbowe. Dada unaandika kama chekechea. Kuna mahali duniani Bosi unayemtukana atakupa cheo wapi huko. Ukiwa mjinga usipende kuandika andika. Hiyo Ni a very Common experience. Sijaongelea hata Ukweli au uongo wa ujinga wako ulioandika.
 
Back
Top Bottom