Edson J Madohyo
Member
- Sep 28, 2020
- 10
- 13
Fuatilia vizuri post zangu, kuna mahali nimemwambia kuwa alikuwa mjenga hoja mzuri zamani maana alikuwa neutral, sio sasa hivi akiwa kwenye ulaji, tena kwa serikali hii iliyoingia madarakani kwa kumwaga damu na wizi wa kura wa wazi hivyo.
Kwamba akijenga hoja sawa na unavowaza wewe hana tatizo, ila akitofautiana na wewe anakua ame-disqualify?