pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nchi hauwezi kukaa bila Serikali muda mrefu ndo maana Rais na mawaziri wanaendelea na kazi hata wakichukua Fomu na wataendela hivyo mpaka baada ya uchaguzi watakapokuwa wamepatikana wengine. Mawaziri ni Wabunge lakini bado wako kazini ingawa sasa hivi nchi haina Mbunge hata mmoja wala Bunge halipo maana lilikwisha vunjwa ni jengo tu ndo limebaki na wafanyakazi wake.Kama unajua, basi unachanganya mambo... au kwa makusudi!
Waziri lazima awe mbunge kwanza, ukimtengua kisa amechukua fomu manake nini... utateua Waziri mwingine kutoka wapi na bunge limevunjwa!
Nguvu ya agizo toka juu kwenda kwa vikao vya chini vya kupendekeza wagombea inabaki palepale kwa hiyo hawakumdharau Mwenyekiti bali wanategemea atatumia sababu iliyomfanya awateua wao kati ya Watz milioni 50 kuagiza wasogezwe mbele yeye atamalizana na wagombea wa upinzani. Jini likujualo!Kumbe wana mdharau Mwenyekiti kiwango hiki, yaani ingekuwa mimi ni Mh. Mwenyekiti JPM, wote walioacha kazi serikalini kuanzia Katibu Mkuu, PS, RC, RAS, DC, DAS, DED, CEO, MD, DPS, wotee wenye vyeo vikubwa na wakaachia ni tamaa kubwa, majina yakija kwangu nakata yote, itakuwa funzo kubwa kwa wengine. Yaani naamini Mh. Rais alilisema sana hili, wenye tamaa kama Mwananzila atawakata wote. Tusubiri tuone, hii ni dharau kubwa ya wazi wanafanya kwa Mwenyekiti
Kosa ni ana kazi aliyopata kwa uwezo wake anaacha anapewa mwingine, halafu yule anapewa kazi nyingine ambayo uwezo wake ni wa mashaka. A jack of all trades is a master of none!Kwani amewazuia kufanya nini!!
Nyie si ndiyo mnaolalamikia ajila!!
Ana kazi aache navwengine wapate kazi. Ameacha kazi wengine wanapewa kazi. Kosa la Magu likobwapi hapo
Ndiyo maana inatakiwa mawaziri wasitokane na wabunge.Nchi hauwezi kukaa bila Serikali muda mrefu ndo maana Rais na mawaziri wanaendelea na kazi hata wakichukua Fomu na wataendela hivyo mpaka baada ya uchaguzi watakapokuwa wamepatikana wengine. Mawaziri ni Wabunge lakini bado wako kazini ingawa sasa hivi nchi haina Mbunge hata mmoja wala Bunge halipo maana lilikwisha vunjwa ni jengo tu ndo limebaki na wafanyakazi wake.
rais amesema hizi ni fursa na pia ruksa, hakuna lililoharibika wala hakuna mgogoro.ccm ya sasa ni tulivu, nani atathubutu kuanzisha mgomo, waliuze wagombea wa urais Zanzibar wako kimyaaa tulivu wanasubiri ulaji. utitiri wa watia nia ni muhimu, kwa sasa kwani umemwezesha mwenyekiti kupata DATA BASE ya uhakika ya HUMAN CAPITAL kwa ajili ya teuzi zijazo. Kumbuka serikali itakapovunjwa na kuundwa upya, watahitajika mawaziRI, manaibu waziri, makatibu wakuu, manaibu katibu wakuu, commissioners, mabalozi, naibu balozi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, RAS, DAS N.K JUST TO NAME BUT FEW. Kazi itakuwa kuvuta kwenye list ya watia nia na kubandika.CCM OYEEE, bahati mbaya kwa watia nia wanaojua kusoma na kuandika tu wao itakula kwao lakini wenye taaluma basi watakuwa wameingia kwenye RARE PROFESSIONAL DATA BASE ya Muheshimiwa. YAJAYO YANAFURAHISHA, CCM OYEEENafasi za kisiasa JK alikuwa anaacha watu mikoa au wilaya zinakaa wazi hata mwaka mzima, usitufanye hatujui
Mnanishangaza nyie watu.Yani Jiww huyu huyu mnategemea kuwa ni mtu wa kuheshimu kauli zake.Aliapia kulinda demokrasia na Katiba siku ya kuapishwa kwake.Je alifanya hivyo??Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.
Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu
MILLION 890 NI FORMS ZA WABUNGE TU. VIPI ZA MADIWANI JUMLA YA FEDHA UNAONGELEA CLOSE TO 2BILLIONKajifunze siasa, Hasa za ccm! Ccm nichama kikongwe africa, hasa baada ya jpm kuwa mwenyekiti wao.
Ukitaka kuamini hilo , angalia kiasi cha fedha kilichoingizwa ktk chama na watia nia. Zaidi ya 890ml.
Hizo pesa za form zinatosha kuperekesha upinzani pakubwa sana.
Hao unaodai wametumbuliwa, nakwamba wamemdharau mwenyekiti wao!! Ndio namba ambayo wapinzani watakuja kuisoma hapo baadae! Mdao huo mnabadilisha mziki na wachezaji hawapo.πββοΈ
Ndio madhara ya kumzuia mbwa kubweka wakati ndo utamaduni wake. Basi hata na mawaziri watumbuliwe maana na wao wameacha ofisi wamekimbilia majimboni kugombea. Tena wengine ni wateule kabisa na hawakuwa na majimbo. Mfano Mzee wa jalalani, Mwl wa hesebu (Ndalichake), Buhingwe kule kwa Mwl Mpango na wengine weeeeeengi tu akiwepo First lady mstaafu.
Kwa kweli hata mimi huwa najiuliza hli jina la Kijazi ni la eneo gani na hawa watatu ( Wa Ikulu, Hali ya Hewa na TANAPA) wana uhusiano wa kidugu au ni majina tu kufanana?Katoka na basi la saa 12 asubuhi anawahi Kilimanjaro kuchukua form, watakuwa huko Rombo na yule prodyuza
Usijifanye uko kwenye akili yangu. Basi naUnaelewa ulichoandika? Kabla ya kuwa Waziri unajua anatakiwa awe nani? Waziri huwez kumlinganisha na Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa
Ngumu kumesarais amesema hizi ni fursa na pia ruksa, hakuna lililoharibika wala hakuna mgogoro.ccm ya sasa ni tulivu, nani atathubutu kuanzisha mgomo, waliuze wagombea wa urais Zanzibar wako kimyaaa tulivu wanasubiri ulaji. utitiri wa watia nia ni muhimu, kwa sasa kwani umemwezesha mwenyekiti kupata DATA BASE ya uhakika ya HUMAN CAPITAL kwa ajili ya teuzi zijazo. Kumbuka serikali itakapovunjwa na kuundwa upya, watahitajika mawaziRI, manaibu waziri, makatibu wakuu, manaibu katibu wakuu, commissioners, mabalozi, naibu balozi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, RAS, DAS N.K JUST TO NAME BUT FEW. Kazi itakuwa kuvuta kwenye list ya watia nia na kubandika.CCM OYEEE, bahati mbaya kwa watia nia wanaojua kusoma na kuandika tu wao itakula kwao lakini wenye taaluma basi watakuwa wameingia kwenye RARE PROFESSIONAL DATA BASE ya Muheshimiwa. YAJAYO YANAFURAHISHA, CCM OYEEE
sio kosa lao kiongozi ni kwakua wameenda shule na bahati pia ipo upande waoHahahaha
Hivi Hawa akina Kijazi wako wangapi huko serikalini ?
Tanapa
Ikulu
Hali ya hewa
Kote huko nadhani kuna Kijazi au nachanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia.
Mwaka huu ushindi wa mgombea ubunge /diwani wala hautategemea sanduku la kura!! Bali ni nani anatakiwa kuingia bungeni na wala sio kingine!!!sisi tutamtanganza tunaye mtaka, kama vipi kimbilia mahakamani, sisi hatuna hata haja ya kutumia collection fluids, kama malawi!! bali tunachana kabisa karatasi hata idadi ya kura zako hazisomeki!!, kesi miaka mitano kuna nini? Sawa wapinzani wagombee tu kutimiza takwa la kikatiba ila daaa, inasikitisha sana!!Wataenda upinzani