Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
kijazi ni watu wa tanga kwao ni korogwe hao wote watatu ni ndugu baba mmoja mama mmoja aisee kuna familia zina bahatiKwa kweli hata mimi huwa najiuliza hli jina la Kijazi ni la eneo gani na hawa watatu ( Wa Ikulu, Hali ya Hewa na TANAPA) wana uhusiano wa kidugu au ni majina tu kufanana?