Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Kwa kweli hata mimi huwa najiuliza hli jina la Kijazi ni la eneo gani na hawa watatu ( Wa Ikulu, Hali ya Hewa na TANAPA) wana uhusiano wa kidugu au ni majina tu kufanana?
kijazi ni watu wa tanga kwao ni korogwe hao wote watatu ni ndugu baba mmoja mama mmoja aisee kuna familia zina bahati
 
Katika hili SIMUUNGI MKONO MAGUFULI. Aache watu wawe huru hata hao wa serikalini, yeye mbona kachukua fomu na bado urais hajaacha? Aonyeshe mfano hai.
 
Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.

Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Mwaka huu na wakina chidi Benz na Amber Ruty lazima wapate ukuuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom