Definately hiyo ni kudhalilisha nafasi ya Urais ......
Huu mradi wa Reli una historia Ndefu , kabla Jakaya hajaondoka wachina walikuwa wameingia site kujenga reli kwa mkopo nafuu , ujenzi ulianzia Pugu....akazindua Kikwete ...gharama ya mradi full delivered mwanza,kigoma , mpanda ,mchuchuma ...ilikuwa USD 7 bill...
JPM kuingia akawatia ndani waliosaini mradi wa kIKWETE na akawafukuza wakandarasi site ....hii imetuletea matatizo na serikali ya china maana hadi mradi wa bagamoyo aliukataaaa.......akatangaza tenda mpya na Rais wa uturuki alikuja na kuweka ushawishi tenda ikapewa kampuni ya uturuki kwa gharama iliyoonekana ni ndogo lakini ghali ....wachina walitaka ndani ya miaka mitano watukabidhi mradi kamili kwa kuwa walikuwa wanatumia pesa yao tulipane ...hawa waturuki pesa yao hailali nje na hadi sasa muelekeo ni kuwa hawataweza kumaliza ndani ya wakati .....na wachumi washaona kuwa huu mradi bila internvention mwaka 2025 hatutaweza kufika Kigoma , Mwanza , Mchuchuma na Mpanda ....hata Mwanza tu yenyewe ni bahati ......na gharama zitakuwa maradufu ya za mchina ....
sasa tunajiuliza kwa nini mkandarasi mchina aliondolewa site .....tumelitia taifa hasara kubwa sana kwa ujuaji ...just wa kutaka ku discredit juhudi za kikwete ...
Tufike mahali nchi za kiafrika rais mpya akiingia asipende kukataa hata mambo mema aliyoacha mtangulizi wake ....tumepoteza hadi miradi kama Reli , Bagamoyo na LNG kwakua tu ilikuwa ya Kikwete ........leo hii tunaishia kuzindua tunnels ...part and parcel ya mradi wakati leo hii watu wangekua wanasafiri na treni ..yeye JPM angetakiwa tu kupitia mkataba na kuboresha ....
Angalia leo hi tunatumia pesa kujenga umeme mpya wakati kuna bomba la gas linatumika only 10% or less ....lilo redundant ...kwa nini lakiini ??
JPM angepata raha sana hi miradi yote ingeleta ukwasi nchini na pesa ya kodi angefanyia maendeleo zaidi ......kwa kuwa miradi yote hii mikubwa ilikuwa FDI au mikopo nafuu ...... hakuna nchi duniani hutumia pesa za kodi kufanya miradi ya kimkakati ....hakuna . labda nchi za dunia ya kwanza tena sio zote