Huku ni kupoteza muda na kuonyesha desperation za kijinga...jiwe la msingi lilishawekwa sasa ...hadi madaraja na mahandani ambayo ni sehemu ya mradi yanahitaji kuwekewa uzinduzi ...tunachekesha sasa
Reli ya tazara ina madaraja na mahandaki mengi kuliko reli ya kati ya sasa ukizingatia imepita kwenye eneo la nyanda za juu lakini hata siku moja hatusomi kuwa kulikuwa na uzinduzi wa mahandaki ...zaidi ya nyerere kuwa anatembelea tu mradi mara kwa mara
ndiyo maana inazinduliwa mara 2?Hii itakuwa miongoni mwa reli bora kuliko zote Kusini mwa Jangwa la Sahara
ndiyo maana inazinduliwa mara 2 ??
Wewe nae pumba tu, huoni maana ya kugombania wanaume ni kupenda kulalwa, sasa hii inasema hadharani utani gani huo?Mimi najua Rais wako alizungumza katika mazingira ya utani tu. Hakumaanisha hivyo
Mnafanya maendeleo kuwaringishia upinzani au kuwaletea maisha bora watanzania masikiniMkuu ufipa hali zao ni mbaya sasa ivyo angalia na nyuzi za kuweka,utawaua na pressure
Viongozi wa dini walitakiwa walikemee hili kiimani halifai, lakini hutowasikia wanaogopa kutekwa au kufungiwa makanisa watakosa sadakaIngekuwa haya yanafanywa na Mbowe Spika angefuta ubunge wake lakini kwa sasa siyo viongozi wa dini wala viongozi wa kimila, tatizo kubwa hapa ni umasikini wa akili maana tuna kuwa na njaa hata ukidhalilishwa na Rais una shangilia sababu katiba imempa uMUNGU.
Definately hiyo ni kudhalilisha nafasi ya Urais .Kwenye awamu hii, mambo madogo madogo yanakuzwa yaonekane makuvwa. Upuuzi wa hali ya juu. Wanamdhalilisha Rais.
Ujenzi wa reli ulikwishazinduliwa, tena unaenda kuzindua vitu vidogo vidogo ndani ya mradi huo huo!! Wanatufanya wananchi tuone kuwa Rais ameishiwa kazi za kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idris kanya tu kwenye Koffi Olomide ile kaenda wapi?Huwezi kuleta utani ambao ni matusi mbele ya hadhira. Kwa maana halisi, mwanamke anayegombea wanaume ni KAHABA au MALAYA. Jee Jokate anagombea wanaume?
Jee Jokate ni Malaya au Kahaba kulingana na maneno ya Rais?
Tabia hii ya kudhalilisha watu imeshika kasi na utetezi wenu ni kuwa anatania. Je, na yeye tumtanie atakaa kimya?
kabombeUna matatizo ya uelewa wa kiswahili au unageuza maneno kwa malengo yako
Jina la bruno hata mbwa huitwa, ni kilaza kupindukiaWe mleta mada ni bonge la kilaza
Hao siyo kuisoma namba, bali wanachambwa.Acha nao waisome namba. Tu;ipokuwa tunakandamizwa upinzani mlikuwa mnacheka. Nanyi isomeni namba!
SagomaKwa vile mama anaumwa?
Image JK angekuwa anadhalilisha watu hivi maaskofu ungewasikiaViongozi wa dini walitakiwa walikemee hili kiimani halifai, lakini hutowasikia wanaogopa kutekwa au kufungiwa makanisa watakosa sadaka
Inauma sanaDefinately hiyo ni kudhalilisha nafasi ya Urais ......
Huu mradi wa Reli una historia Ndefu , kabla Jakaya hajaondoka wachina walikuwa wameingia site kujenga reli kwa mkopo nafuu , ujenzi ulianzia Pugu....akazindua Kikwete ...gharama ya mradi full delivered mwanza,kigoma , mpanda ,mchuchuma ...ilikuwa USD 7 bill...
JPM kuingia akawatia ndani waliosaini mradi wa kIKWETE na akawafukuza wakandarasi site ....hii imetuletea matatizo na serikali ya china maana hadi mradi wa bagamoyo aliukataaaa.......akatangaza tenda mpya na Rais wa uturuki alikuja na kuweka ushawishi tenda ikapewa kampuni ya uturuki kwa gharama iliyoonekana ni ndogo lakini ghali ....wachina walitaka ndani ya miaka mitano watukabidhi mradi kamili kwa kuwa walikuwa wanatumia pesa yao tulipane ...hawa waturuki pesa yao hailali nje na hadi sasa muelekeo ni kuwa hawataweza kumaliza ndani ya wakati .....na wachumi washaona kuwa huu mradi bila internvention mwaka 2025 hatutaweza kufika Kigoma , Mwanza , Mchuchuma na Mpanda ....hata Mwanza tu yenyewe ni bahati ......na gharama zitakuwa maradufu ya za mchina ....
sasa tunajiuliza kwa nini mkandarasi mchina aliondolewa site .....tumelitia taifa hasara kubwa sana kwa ujuaji ...just wa kutaka ku discredit juhudi za kikwete ...
Tufike mahali nchi za kiafrika rais mpya akiingia asipende kukataa hata mambo mema aliyoacha mtangulizi wake ....tumepoteza hadi miradi kama Reli , Bagamoyo na LNG kwakua tu ilikuwa ya Kikwete ........leo hii tunaishia kuzindua tunnels ...part and parcel ya mradi wakati leo hii watu wangekua wanasafiri na treni ..yeye JPM angetakiwa tu kupitia mkataba na kuboresha ....
Angalia leo hi tunatumia pesa kujenga umeme mpya wakati kuna bomba la gas linatumika only 10% or less ....lilo redundant ...kwa nini lakiini ??
JPM angepata raha sana hi miradi yote ingeleta ukwasi nchini na pesa ya kodi angefanyia maendeleo zaidi ......kwa kuwa miradi yote hii mikubwa ilikuwa FDI au mikopo nafuu ...... hakuna nchi duniani hutumia pesa za kodi kufanya miradi ya kimkakati ....hakuna . labda nchi za dunia ya kwanza tena sio zote