Rais Magufuli azindua Kiwanda cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro, aitaka mifuko ya hifadhi kuwekeza kwenye viwanda badala ya majengo

PSSSF na NSSF wana pesa ya kufanya miradi, lakini pesa ya kumlipa mfanyakazi aliyetumikia Taifa na kchangia mifuko hiyo kwa miaka Mingi na badae kupoteza ajira na kuendelea kuteseka na familia yake, Hawana..!!
 
Hovyo sana....
Post zako nyingi huwa unaandika pumba. Sijui kwann
 
Acha wivu wewe
 
Hayo ndio matumizi bora ya kimkakati.
Upumbavu mtupu! Mifuko ya jamii inatunza fedha za wafanyakazi ili wanufaike wakistaafu na si fedha za kujenga viwanda ambavyo vinaweza kufa na hivyo kuwakosesha wastaafu haki yao.

Mwambieni Magufuli atafute wawekezaji binafsi wajenge viwanda.
 
Jiwe 🐍🐍🐍🐍.

Tunataka pesa zetu.

Tumechoka
 
Watu wa Kaskazini hatudanganyiki safari hii hata azindue mabomba ya maziwa na asali, kwani tumeshaamua ni yeye2020
 
Duh, anazindua kiwanda ambacho hata hakijakamilika! Mitambo bado haijafungwa
 
Asitake kukwepa wajibu wake, yeye ndiye aliyeahidi kujenga viwanda siyo mifuko ya hifadhi ya jamii,asitafute ujiko kwa kutumia mgongo wa wengine.
 
Nyie chadema mkiambiwa ni maamuma mtakataa ?

Kwahiyo Unataka fedha ikae ikisubiria mtumishi astaafu?

Kwa haya mawazo ndio maana mnatandikwa virungu
Upumbavu mtupu! Mifuko ya jamii inatunza fedha za wafanyakazi ili wanufaike wakistaafu na si fedha za kujenga viwanda ambavyo vinaweza kufa na hivyo kuwakosesha wastaafu haki yao.

Mwambieni Magufuli atafute wawekezaji binafsi wajenge viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…