Rais Magufuli azindua mradi wa maji Kagongwa - Kahama

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama

Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6

Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157

 
... leo sijui tutegemee kauli gani.
 
Tushahama huko mkuu,hii ni kwa hisani ya kodi za wananchi wa Tanzania.
 
Ziba mbele choma nyuma..kahama mbele kagongwa nyuma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mr uzinduzi namm nimejenga choo jamani nahitaji mtu wa kukizindua kwetu choo ni kitu kikubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…