Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Duh!! Sasa mkuu unahisi lakini bado unapinga wahusika wakuu(Serikali).

Nilidhani upo ndani kabisa mkuu.
Nimeandika hivyo sababu sikumbuki vizuri ila kwa ninavyokumbuka niliwahi kusoma kwenye gazeti kipindi cha Kikwete mpaka nikashangaa hizo MW kua ndogo sana tofauti na zilivyokua zinapigiwa promo na hazikufika 240MW ni pungufu ya hapo sasa sielewi kwanini inakua hivyo lengo ni mwenye kumbukumbu sahihi atatuambia vizuri
 
Umeeleweka mkuu.
 
Ni kweli Magufuli hakuendeleza umeme wa gesi?
Mkuu!Jibu litakuwa ndiyo maana sikumbuki mradi wowote alioukuta Magufuli ukijengwa na mtangulizi wake akaukamilisha.Magu bila wasiwasi nadhani aliongozwa zaidi na ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…