Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Nimeandika hivyo sababu sikumbuki vizuri ila kwa ninavyokumbuka niliwahi kusoma kwenye gazeti kipindi cha Kikwete mpaka nikashangaa hizo MW kua ndogo sana tofauti na zilivyokua zinapigiwa promo na hazikufika 240MW ni pungufu ya hapo sasa sielewi kwanini inakua hivyo lengo ni mwenye kumbukumbu sahihi atatuambia vizuriDuh!! Sasa mkuu unahisi lakini bado unapinga wahusika wakuu(Serikali).
Nilidhani upo ndani kabisa mkuu.