NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
JK/waziri wake alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi miezi 2 kabla ya uchaguzi lakani jiji karibu lote likachukuliwa na UKAWA.Hadi miaka kumi ya Magufuli inakwisha ni either utachanganyikiwa au utapata cancer ya moyo
Urais ni taasisi na Nikusaidie Viongozi Wa dini hawawezi shindana na RaisUnapokuwa peke yako uanjani unaweza kujiona teyarI ni mshindi.
wala nini mbwembwe anakusanya majizi ya ccm yakamshangilie angeenda peke yake aone kama angepata wa kumshangilia labda bashite na tiss bhaaaaaaaasMpala 2025, utakuwa hoi bin taaban. Spidi ya jamaa naona unashindwana nayo.
Good, hili ni jambo zuri, tunahitaji umeme mwingi na wa uhakika ili gharama za uzalishaji viwandani na pia gharama za umeme wa matumizi majumbani ziweze kupungua!
Kwa kuminya wapinzani wake na kutaka aonekane yeye tu kila siku ndio anadhani ni kipimo cha kukubalika.Jamaa kapiga live 3 days straight. Hivi gharama za hizi live events zikoje?
yeye ndo anashindana nao.............. asijione yupo juu ya sheriaUrais ni taasisi na Nikusaidie Viongozi Wa dini hawawezi shindana na Rais
Kwa Tanzania haitatokea kumbuka Tanzania ni Taifa sio Nchi
Una imani kwamba JPM atashindwa 2020?JK/waziri wake alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi miezi 2 kabla ya uchaguzi lakani jiji karibu lote likachukuliwa na UKAWA.
Leteni Tume Huru tumalize ubishiRaisi mchapakazi nzalendo wa kweli nakipenzi cha walio wengi asante kwa mega watts nyingine ila nitafurahi zaidi tukipata zile 2000 pale selou
Wapinzani wa nchi nyingine huwa wako pamoja kwenye mambo yenye maslahi ya taifa,hawa uchwara wa hapa kwetu wao ni kupinga tu.Mradi kama huu ni sawa kwa Rais kuzindua
Ajira hakuna, Kalime!Hata JK alizindua vingi na vingine vilizinduliwa na mawaziri wake.
Issue ni ajira,uchumi,watu kupoteza ajira, biashara kufungwa,mazao ya wakulima kukosa soko,bidhaa kupanda bei,n.k.
Mengine ni sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,mafao kwa wastaafu na wanaocha kazi,makato ya asilimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo,n.k.
Sasa ni maendeleo ya vitu na si maendeleo ya watu na hili ndio Tatizo.
Maneno haya hata Hashim Rungwe huwa anasemaga.Leteni Tume Huru tumalize ubishi
Mnakuza mambo ili mpate kicki.Mpala 2025, utakuwa hoi bin taaban. Spidi ya jamaa naona unashindwana nayo.
Ila bunge live linazuia watu kufanya kazi, hali Jana watu wamesombwa kwenda kushangilia uwanjani.Hao mengine live ruksa bunge hapana.Hivi mikoa ya kusini hawana vya kuzindua?ili wapate bahati ya ugeni.Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam.
Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii.
Hapo bado watumishi watapewa zao.Hajaribiwi.Mimi huwa namwangaliaaaaa, halafu nasemaa Hiiiiiii!