Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Jamaa kapiga live 3 days straight. Hivi gharama za hizi live events zikoje?
 
Hadi miaka kumi ya Magufuli inakwisha ni either utachanganyikiwa au utapata cancer ya moyo
JK/waziri wake alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi miezi 2 kabla ya uchaguzi lakani jiji karibu lote likachukuliwa na UKAWA.
 
Sioni tena mipango ya uchimbaji gas!!

Nasikia makampuni ya uchimbaji gas yanarudi nyuma...

Nini Plan B baada ya gas yote ya Msimbati kuwa full utilized?!

Seriously, Plan B yetu ni Stigler's Gorge?!

Hivi Washauri wa Magu huwa wanazingatia economic impacts ya miradi inayopewa kipaumbele?!

Hivi unaweza kulinganisha economic multiple impact kati ya Stiglers Gorge na extraction ya gas iliyogundulika?!

All in all, it's good lakini ukweli ni kwamba tuna matatizo makubwa kwenye vipaumbele!

Gas ya Msimbati sio nyingi! Ni vile tu nchi yenyewe hii energy consumption ipo chini sana or else hivi sasa tungekuwa tunashikana mashati!! Songosongo + Msimbati gas fields hazina uwezo wa ku-accomodate even 2500MW energy demand!!

Hayo yanayokea huku kukiwa na 57 trillion cf of gas zinapiga usingizi! Hapo ndipo utawasikia Nyererests waki-argue "gas haiozi!"

Moja ya hasara kubwa tuliyonayo hivi sasa ni kutokuwa na Watendaji with capitalism minds!!

Siamini kwamba Magu ukimpa facts in big picture bado ataacha kufanyia kazi!

But all I see ni kama ideas zina-flow kutoka kwa Magu kwenda kwa wataalamu badala ya vice versa!!

Magu ana nationalism minds lakini hana capitalism mind! The old man would lover to see Tanzania ipo pahala fulani but he doesn't know how to reach there!
 
hana speed
Mpala 2025, utakuwa hoi bin taaban. Spidi ya jamaa naona unashindwana nayo.
wala nini mbwembwe anakusanya majizi ya ccm yakamshangilie angeenda peke yake aone kama angepata wa kumshangilia labda bashite na tiss bhaaaaaaaas
 
Good, hili ni jambo zuri, tunahitaji umeme mwingi na wa uhakika ili gharama za uzalishaji viwandani na pia gharama za umeme wa matumizi majumbani ziweze kupungua!

Pole ungejua kilio kilichopo sasa, tokea E government iwe ndio muuzaji mkuu wa LUKU, usingesema hayo.
ila tutafika!
 
Jamaa kapiga live 3 days straight. Hivi gharama za hizi live events zikoje?
Kwa kuminya wapinzani wake na kutaka aonekane yeye tu kila siku ndio anadhani ni kipimo cha kukubalika.

Kinondoni tu ilikuwa ni ushahidi tosha kuwa hizI live events zake hazimsaidi kama anavyodhani.
 
Urais ni taasisi na Nikusaidie Viongozi Wa dini hawawezi shindana na Rais
Kwa Tanzania haitatokea kumbuka Tanzania ni Taifa sio Nchi
yeye ndo anashindana nao.............. asijione yupo juu ya sheria
 
Hapo kwenye mifuko ya jamii watu wanasubiri kwa hamu kuona hiyo sheria kandamizi. Sheria hii itajenga chuki kubwa dhidi ya serikali
 
Mimi sio mhandisi ila kwa ninavyokumbuka huo mradu wa kinyerezi II MW ambazo zilikua zikitangazwaga zilikua hazizidi 150 MW labda ninachanganya na Kinyerezi I, ila kiuhalisia hazifiki 240 MW najua nitaonekana mpinzani ila mwenye kumbukumbu zaidi aje atuambie vizuri nahisi ni kati ya MW 94 na zingine MW 50
 
Hata JK alizindua vingi na vingine vilizinduliwa na mawaziri wake.

Issue ni ajira,uchumi,watu kupoteza ajira, biashara kufungwa,mazao ya wakulima kukosa soko,bidhaa kupanda bei,n.k.

Mengine ni sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,mafao kwa wastaafu na wanaocha kazi,makato ya asilimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo,n.k.

Sasa ni maendeleo ya vitu na si maendeleo ya watu na hili ndio Tatizo.
Ajira hakuna, Kalime!
Unataka kuajiriwa una masters unashindwa hata kuandika Barua ya kiofisi
 
Tanzania/Kinyerezi Gas Combined Power Plant Project

March 30, 2015
Nippon Export and Investment Insurance

Nippon Export and Investment Insurance ("NEXI") has decided to provide insurance for loans extended for the Kinyerezi 240 MW gas-fired combined cycle power plant project ("Kinyerezi power project") in the Republic of Tanzania on which the EPC contract was signed between Sumitomo Corporation of Japan and Tanzania Electric Supply Company Limited ("TANESCO"), a national power company of Tanzania. This is the first time that NEXI has provided insurance for a finance project in Tanzania.


The Kinyerezi power project is to construct Tanzania's first gas-fired combined cycle power plant that will be built about 30 km southwest from Dar es Salaam. Most of the main equipment and control system for the highly effective power plant will be delivered by Japanese companies together with technical services with a view to localization of plant management technology and local staff development.


With an urgent and increasing demand for electricity, the Kinyerezi power project is expected to supply approximately 20% of Tanzania's power generation capacity by using the natural gas produced in the country. Through the exports of high-efficiency power equipment and personnel training for this large-scale power generation porject, Japanese companies will contribute to alleviating severe power shortages in Tanzania.


Sumitomo Mitsui Banking Corporation ("SMBC") and Japan Bank for International Cooperation will jointly finance the project, and NEXI's insurance will be for the loans provided by SMBC.


NEXI will continue to support the expansion of exports by Japanese companies as well as opportunities for Japanese companies to participate in overseas projects.


Reference
Borrower The Government of the United Republic of Tanzania acting through the Ministry of Finance
NEXI Covered Lender
(Insured) Sumitomo Mitsui Banking Corporation
NEXI Covered Facility
(Insured Amount) Approximately US$ 117 Million
Covered Risks Political Risk and Commercial Risk 100%
 
April 2 kaweka jiwe la msingi la ujenzi wa rada na kupokea ndege mpya, April 3 anazindua mradi wa kinyerezi ambao hapo kabla ulishazinduliwa na JK, April 6 atakuwa mererani kuzindua ukuta, April 7 atakuwa Arusha kuzindua nyumba za makazi ya polisi. This is called one man show
 
Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam.

Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii.
Ila bunge live linazuia watu kufanya kazi, hali Jana watu wamesombwa kwenda kushangilia uwanjani.Hao mengine live ruksa bunge hapana.Hivi mikoa ya kusini hawana vya kuzindua?ili wapate bahati ya ugeni.
 
Back
Top Bottom