Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Lile carpet jekundu waliache tu huko Kinyerezi kusubiri uzinduzi ..........!!
 
Urais ni taasisi na Nikusaidie Viongozi Wa dini hawawezi shindana na Rais
Kwa Tanzania haitatokea kumbuka Tanzania ni Taifa sio Nchi
Toka lini baiskeli ikashindana na gari mbio
 
Da mange kasema jk alishauzindua hide my id plz
 
Hii Kinyerezi II Kama sikosei itakuwa inazinduliwa kwa Mara ya 3!Wataalamu wa kufukua Thread tusaidieni hapa!
 


Na hiko ndio kinachowaUUMIZA, mana amnajua hamuna ushawishi, pamoja na kuzuia siasa zisifanyike huku nyinyi mkifanya lakini bado hamjihamini.
 
come 2020 upinzani utabakia na maneno tu..wajanja wote wameshajiunga na kambi ya wazalendo halisi.
 
Hayo hoja yako (maandishi mekundu) inathibitisha kiwango chako cha ufahamu wa masuala ya uchumi. Kama unadhani elimu ni ghali jaribu ujinga, na ndicho unachokionesha. POLE SANA.
 
Anapenda uzinduzi huyu jamaa hivi hii ndio kilichompeleka ikulu jamani au ndio mambo ya kupenda kuuza sura
 
Siku hizi hakuna Wizara ya Nishati na Madini... Madini ni Wizara kamili chini ya Angela Kairuki na Nishati ni Wizara kamili chini ya Kalamani!!!
 
But all I see ni kama ideas zina-flow kutoka kwa Magu kwenda kwa wataalamu badala ya vice versa!!

!
Hili ndilo tatizo kubwa la Afrika. Wanasiasa ndiyo kila kitu. Mipango yote ya nchi hupangwa na wanasiasa halafu wataalam wanalazimishwa kufuata. Na wanasiasa wana-mind political millage na si vinginevyo!
 
Hayo hoja yako (maandishi mekundu) inathibitisha kiwango chako cha ufahamu wa masuala ya uchumi. Kama unadhani elimu ni ghali jaribu ujinga, na ndicho unachokionesha. POLE SANA.
Kinondoni tu penyewe ilibidi mtumie nguvu za ziada na kupora masanduku.Msijisahau mkafikiri hii miradi ndio itapumbaza watu wakasahau machungu wanayoyapata leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…