The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Lile carpet jekundu waliache tu huko Kinyerezi kusubiri uzinduzi ..........!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini baiskeli ikashindana na gari mbioUrais ni taasisi na Nikusaidie Viongozi Wa dini hawawezi shindana na Rais
Kwa Tanzania haitatokea kumbuka Tanzania ni Taifa sio Nchi
Leteni Tume Huru tumalize ubishi
Kwani Mke wa Kalemani kajifungua?Kwani amesharudi toka martenity leave?
MAGUFULI NI BALAAA...SO FAR HE HAS DONE WONDERS SO FAR NO ONE TO COMPARE
kuna mambo ukiyaangalia mabayo imeishaifanyia NCHI HII mpaka sasa uanweza stahajabu sana SEMA sisi BINADAMU TUNA MATATZO SANA mostly WATANZANIA WA MITANDAONI
CHADEMA MKUBALI TU....2020 HAMTAKUWA NA LA KUMSEMA MAGUFULI JUU YA UTEKELEZAJI WA ALIYOHAIDI.....i believe mtakalo mnanga nalo ni AHADI YA MILLION 50 kila kijiji HII NDIO INAWEZA KUWA ajenda yenu kuu NA KUSEMA MLIKUWA MNAONEWA .
Hayo hoja yako (maandishi mekundu) inathibitisha kiwango chako cha ufahamu wa masuala ya uchumi. Kama unadhani elimu ni ghali jaribu ujinga, na ndicho unachokionesha. POLE SANA.Hata JK alizindua vingi na vingine vilizinduliwa na mawaziri wake lakini kura zake ziliendelea kuporomoka.
Issue ni ajira,uchumi,watu kupoteza ajira, biashara kufungwa,mazao ya wakulima kukosa soko,bidhaa kupanda bei,n.k.
Mengine ni sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,mafao kwa wastaafu na wanaocha kazi,makato ya asilimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo,n.k.
Sasa ni maendeleo ya vitu na si maendeleo ya watu na hili ndio tatizo.
Na mradi huu je?Mradi kama huu ni sawa kwa Rais kuzindua
Hili ndilo tatizo kubwa la Afrika. Wanasiasa ndiyo kila kitu. Mipango yote ya nchi hupangwa na wanasiasa halafu wataalam wanalazimishwa kufuata. Na wanasiasa wana-mind political millage na si vinginevyo!But all I see ni kama ideas zina-flow kutoka kwa Magu kwenda kwa wataalamu badala ya vice versa!!
!
Kinondoni tu penyewe ilibidi mtumie nguvu za ziada na kupora masanduku.Msijisahau mkafikiri hii miradi ndio itapumbaza watu wakasahau machungu wanayoyapata leo hii.Hayo hoja yako (maandishi mekundu) inathibitisha kiwango chako cha ufahamu wa masuala ya uchumi. Kama unadhani elimu ni ghali jaribu ujinga, na ndicho unachokionesha. POLE SANA.
Poa tu.Mnakuza mambo ili mpate kicki.
Hata wakati wa JK vilizinduliwa vingi tu ila bado kura zilishuka.
Yuko kwenye kampeni huyo kila kukicha na bado hajiamini.Siku hizi hakuna Wizara ya Nishati na Madini... Madini ni Wizara kamili chini ya Angela Kairuki na Nishati ni Wizara kamili chini ya Kalamani!!!