Hawa watu wako kwenyw kampeni!!Waziri Kalemani yuko kwenye jukwaa anadanganya kwamba pesa zilizotolewa na Magufuli zote ni fedha za ndani. Uongo mkubwa.
Serikali imetoa 15% ya gharama. Zingine zote ni mkopo kutoka benki mbili za Japan.
Hawa watu wako kwenyw kampeni!!
Na bado wanakimbia na masanduku ya kura.Halafu wanadanganya maendeleo hayana chama. Wanapiga kampeni mwaka mzima.
Nani angefaa kuwa rais kwa mtazamo wako?Hivi huyu JPM anafanya kazi muda gani Ofisini!? Kauli mbiu yake ya "HAPA KAZI TU" anaitendea haki!? Binafsi, sioni kbsa huyu Rais km anafanya kazi zaidi ya kupiga misele ya hapa na pale Nchini! Utofauti wa JK na huyu JMP ktk muktadha wa kupiga misele, JK alikuwa anatembea Nje ya Nchi lkn huyu jamaa anafanya misele yake ndani ya Nchi, speed na viwango vya kutokuketi Ofisini vinafanana!! Uzinduzi wa miradi ambayo haijakamilika, imeshika hatamu! Simuuelewi kbsa
Mkuu naona kama unataka kuteleza, sijui ni hasira?Kwani hii miradi ndio imeanza kuzinduliwa awamu hii?
Wewe nawe huenda ni msukuma!!
Kwani kweli?Kwani amesharudi toka martenity leave?
Mimi huwa nashindwa hata kuelewa, kwanini vyama vya UPINZANI visiyachukue mambo haya kama AGENDA, Naamini watakomba wengi ambao hata ukiwaambia kuhusu maandamano watakuwa tayari kuliko kukomalia agenda ambazo hazipeleki Chakula mezani kwa watu kama BUNGE LIVE, MIKUTANO YA SIASA, KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI n.kIssue ni ajira,uchumi,watu kupoteza ajira, biashara kufungwa,mazao ya wakulima kukosa soko,bidhaa kupanda bei,kushindwa kuboresha masilahi ya watumishi,kodi zisizo rafiki kwa wafanyabiashara,n.k
Mengine ni sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,mafao kwa wastaafu na wanaocha kazi,makato ya asilimia 15 kwa ajili ya Bodi ya Mikopo, manyanyaso kwa watumishi na wapinzani,Ma-DC na Ma-RC kuweka watu ndani hovyo hovyo,n.k.
Vile vile mengine ni kama tuhuma za mauji,utekaji,police brutality,lugha za kebehi, viburi,dharau,doublestandard,bomoabomoa.
Anayefaa kuwa Rais ni yule aliyoko bize Ofisini akifanya kazi kwa bidii mno, yaani maneno machache halafu vitendo vingi na misele michache, kazi kwa wingi. Ni lzma tupate Rais mchapa kszi km alivyokuwa MKAPA. Kwa ssa tuna Rais mwenye porojo nyingi na mwenyewe kuamini ktk siasa za uwongo na maigizo wkt uhalisia ni zero!!Nani angefaa kuwa rais kwa mtazamo wako?
Unashauri nini katika uchaguzi ujao ili apatikane rais umtakaye?Anayefaa kuwa Rais ni yule aliyoko bize Ofisini akifanya kazi kwa bidii mno, yaani maneno machache halafu vitendo vingi na misele michache, kazi kwa wingi. Ni lzma tupate Rais mchapa kszi km alivyokuwa MKAPA. Kwa ssa tuna Rais mwenye porojo nyingi na mwenyewe kuamini ktk siasa za uwongo na maigizo wkt uhalisia ni zero!!
Ushauri mzito, unaelekezwa kwa wapiga kura kwani hao ndiyo walostishaji wakubwa. Watafute Elimu ya Uraia, waelimike na kujifunza kutathmini aina ya kiongozi mzuri kbla ya kupiga kura. Wengi wetu wa TZ, bado tuna weledi na fikra finyu mno, niwapiga vigelegele bila kuifikirisha AkiliUnashauri nini katika uchaguzi ujao ili apatikane rais umtakaye?
Rais wetu wakati mwingine anakuwa hakumbuki matukio ya nyuma ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi maalum.Rais hajali sheria, cheki anavyosema:
Rais Magufuli: Inaniboa sana kusikia eti mradi umekwama kwa kukosa kibali cha Tanroads, au kibali cha mazingira, au kibali cha TRA, au kibali sijui cha bandarini...
Huyu si alikuwa anasimama barabarani kuzuia vitu vizito visipelekwe kwa barabara? Meli ya kwenda Lake Victoria iliyokuwa ibebwe na barabara kutoka Dar, si alikataa huyu?
Leo anasema hajali kibali cha TANROADS kubeba vitu vizito kupeleka kwenye miradi ya nchi?
Kunaa yulee alikimbiazana na wanausalamaa ukiacha yule mama aliekomalia mkonoMbona sioni hapo kuwa kuna raia alingangania raisi mkono, askari wa usalama wamemgawana
Huyo dogo anahitaji huduma ya akili...maana atachanganyikiwa kwa utendaji wa MagufuliHadi miaka kumi ya Magufuli inakwisha ni either utachanganyikiwa au utapata cancer ya moyo