Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Tanzania itafanikiwa sana, kwenye uongozi wa Rais huyu. Ukimheshimu Mungu, kibali machoni pake na machoni pa watu unapewa.
 
Pamoja na yote hayo wasaidizi wa Raisi waache ujinga .its in the best interest ya wananchi wote ku make sure yuko safe ku show off hakutatusaidia kama watanzania huwezi kusema hundred percent kuwa hakuna corona Mungu anamsaidia na anejisaidia
 
Eti kunayule wa urai Pacha anataka kupimana na MTz halisi!! Watu wakishaahidia vitu huko basi macho Yao hayaoni mlima tena, yanaona mtelemko tu ijapo kuna mlima mkali wa kukwea ukiwa na maji mengi mgongoni ili kila unapohitaji kunywa na unywe!
 
Chadema watapinga na kuhoji ,Magufuli ametoa wapi mamlaka ya kusaidia walemavu?

Chadema watasema ameanza kampeni mapema.
hawakawii ndugu zetu wale lakini mbona hata mitaani wapo na kila siku wanapinga tu hao watu wabaya sana
 
Rekebisha heading hapo.
Rais hajarejea Daresaalam, bali ametembelea mkoa wa Daresaalam kutokea makao makuu Dodoma
usisahau kuwa Kiswahili kigumu ila ulivomkosoa mmhh ulikuwa unapata 100 darasani nn???ila meseji umeielewa lakini
 
Eti kunayule wa urai Pacha anataka kupimana na MTz halisi!! Watu wakishaahidia vitu huko basi macho Yao hayaoni mlima tena, yanaona mtelemko tu ijapo kuna mlima mkali wa kukwea ukiwa na maji mengi mgongoni ili kila unapohitaji kunywa na unywe!
Eti ni Msukuma au Mhaya?
 
Mkuu hizo picha kwangu zote hazijafunguka nimemiss uhondo
 
Karudi tena wakati juzi tu katuambia Dar ni ka mkoa tu kama mikoa mingine, habari ya mjini makao makuu Dodoma. Mbona sasa asiende kutulia na mikoa mingine kama Ruvuma au Tanga kwani huko hakuna Ikulu kila siku Dar.

Chezea jiji
zunguka hiyo Dodoma yenyewe ni shida ,,dar itabaki kuwa dar tu na sio kwingne aisee
 
Habari wadau

Leo nilikuwepo ubungo stendi ya mkoa wakati magu anapita.. nilishangaa sana kuona wakatisha tiketi na madalali wa mabus ubungo wanaacha kazi zao za kutafuta hela na kutoka nje ya stendi na kuanza kumshangilia magu..

Sijawai kuona CCM ikishangiliwa hivi na vijana maskini maisha yangu yote... najuaga ccm ni wazee tu..

Ukweli kikwete na mkapa mlituangusha wa Tanzania.. nakumbuka mlikuwa hadi mnapigwa mawe na wananchi..

Fikiria wananchi wanachoka mpaka kurushia mawe msafara wa Rais bila kuogopa jela.

Ila leo rais wa CCM anasimama sehemu korofi kama ubungo na anashangiliwa na wauza maji, wapiga debe, hii ni aibu kubwa

Rais wa CCM zamani asimame ubungo kweli bila uoga wa kupigwa mawe.

Nasubiri kwa hamu kumuona Magu akienda kariakoo , Temeke, Tandale, kuona atapokelewaje.. ila hii ya Ubungo imenifanya nikubali Wananchi maskini wanampenda Magu
 
nenda zako huko mbwea wewe, unafurahia umasikin zoba wewe! eti vjana masikini, aise....
 
 

Attachments

  • VID-20200619-WA0066.mp4
    6.9 MB
MATAGA bwana Sasa mbona walimtosa ubungo maana alipigwa kinyama na Lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…