Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Bado sijaridhika na sera zako za kuibadilisha Dar

Ebu tupia picha moja ya tram inayopita njia ya vumbi kwanza?

Yaani unamsikiliza Lissu kabisaa? Uwezi kujenga city tram bila ya barabara if anything it is even costlier maana ukishajenga hiyo barabara there is the addition cost inabidi ujenge na njia ya tram katikati, halafu uweke umeme njiani na uzinunue hizo trams zenyewe.

Sasa kama hela ya barabara kuipata tu shida hiyo nyongeza sijui unaitoa wapi?

Tundu Lissu ni mtu anaejiongelea tu.
 
Wewe hujasikia train za Mwakyembe, hizo zina represent nini ??? Amekuwa hiyo wizara for 20 yrs anajua plan zilivyo na sio zote zitatekelezwa ktk kipindi chake. Kilichofanyika so far ni kikubwa na ameongezea some more flyover to come na hizo bus lanes au hizo za mwendokasi
 
MAGUFULI anasema by 2030 wakazi wa DSM watakuwa 10 million, anafanya jitihada gani kuboresha maisha ya watu huko vijijini ili kuipunguzia msongamano wa watu Dsm?
Kwanini London in a population kubwa kuliko kwingine ?? Kwa hiyo waingereza hawafanyi juhudi zozote za kupata ufumbuzi wa tatizo hili ??

"The current metro area population of London in 2020 is 9,304,000, a 1.38% increase from 2019. The metro area population of London in 2019 was 9,177,000, a 1.45% increase from 2018. The metro area population of London in 2018 was 9,046,000, a 1.46% increase from 2017."
Je uwezo wa umeme na transport network kwenye sehemu zingine hazita sababisha watu kukata au kuishi mikoa mingine ??
He kuhamia Dodoma haitakuwa sehemu ya utatuzi wa watu kuja Dar ??
 
CCM bana toka 2000 wanaimba tu kurekebisha mto msimbazi na adha za mafuriko [emoji23][emoji23][emoji23].

Pesa za kujenga daraja la salenda bora wangerekebisha jangwani pale

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Hata hiyo miaka 5 atashangaa itakatika akiwa hajui nini kimekula pesa, tatizo lake anakwepa utaalamu na oditing za ukweli kwenye ukaguzi maalumu yeye analeta mashabiki wake wanaomshangilia bila kutumia taaluma hata hizo kampeni anazofanya ni mfano tosha jinsi anavyopigwa, chaguzi za marudio zilikuwa vioja na leo analetewa mtu wa CUF anaambiwa ni CDM nayeye anashabikia tu na watu wanajua alikuwa CUF.
 
Sasa kama suala la ajira mumesikia vyakutosha hawa wasio na ajira mnataka waishi vipi? Ajira sio lazma serikali sector binafsi weken mazingira mazuri, toeni mikopo sio mnaongea upumbavu kwakua nyie mumeshaajiriwa
 
Sasa kama suala la ajira mumesikia vyakutosha hawa wasio na ajira mnataka waishi vipi? Ajira sio lazma serikali sector binafsi weken mazingira mazuri, toeni mikopo sio mnaongea upumbavu kwakua nyie mumeshaajiriwa

capitalisma haipo ivo dogo, kila mtu akiwa na ajira basi ndo mwisho wa kuwepo kiumbe kinaitwa binadam! lazima kue na balance, hata uende nchi gan lazima kue na setback ya ajira, na sio kwamba wameshindwa ama wanaweza kulitatua bur ndo capitalism ivo, haitakaa itokee sehem yoyote duniani watu waajiriwe wote lazima kue na matabaka ili maisha yasogee,
 
Hilo la Dar alichomekea tu, ni huyu aliyenunua kivuko mtumba cha Dar Bagamoyo kilichochukua siku mzima kusafiri toka Dar kwenda Bagamoyo.
 
Hakuna mabadiriko ya maana ya jiji la Dar es Salaam yatakayoletwa na Ccm! Nasema tena Hakuna!!!

Dar yote ni squatters ( mji uliopangwa hovyo ) watu wamejenga vibaya na mji ni mchafu kupindukia. Yote haya sababu ni Ccm! Creativity ndogo tu ya kupanga mji na kuujenga vizuri wakazi wake wakae vizuri wameshindwa, kazi ya kujenga tu vizuri maeneo mazuri yenye hadhi ya wafanyabiashara wadogo kwenye maeneo ya vituo vya mabasi wameshindwa sasa huo muujiza wa kubadiri Dar es Salaam unatoka wapi??
 
Yaani unaongea Mambo ambayo mwenzio yupo so out of touch nayo, kwa uwezo wake sidhani Kama atakuelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sawa mkuu. Lakini kujaribu si haba. Pengine anaweza pitia humu na kugundua asiyonyajua.
 
Mkuu kongole kwa hoja za msingi.
Kuna siku miaka ya mwisho ya tisini nikimkuta msaidizi wa kazi za nyumbani akimpa mtoto wa miezi 8 mahindi makavu yaliyokaangwa.
Ndicho nikionacho hapa kwako mkuu.
Duuh! Safi sana. Coment yako imenikuna sana. Asante na mungu akubariki.
 
'nafikiri huoni kitu kingine zaidi ya barabara, Flyovers, madaraja na majengo.'

Huko ndiko kwny michongo ya pesa mzee baba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante kwa ufafanuzi. Nilikuwa sijalijua hilo! Kumbe!
 
MAGUFULI anasema by 2030 wakazi wa DSM watakuwa 10 million, anafanya jitihada gani kuboresha maisha ya watu huko vijijini ili kuipunguzia msongamano wa watu Dsm?
Ndiyo hapo sasa! Anajenga hospitali, barabara na shule ili wawe na afya nzuri, wawe na akili bora ya kuondoka vijini na kuja Dar.
 
Mbona mifano ipo mingi? Angalia Majimbo ya Kawe na Ubungo. Halim Mdee na mbunge wa Ubungo wamefanya nini kwenye majinbo yao? Bado hujaelewa tu kwa nini? Unatala nikufafanulie ndiyo uelewe?
 
Yaani hicho ndicho kitu pekee kilicho attract your attention kwenye mada hii?
NEC ikiwafuta kwenye kugombea kwa sababu ya ujazaji form was hovyo mnalalamika
Lakini ukweli hamjui kusoma na kuandika
Mm Mtu akikosea kuandika huwa siendelei kusoma
Afadhali ikiwa typing error
 
NEC ikiwafuta kwenye kugombea kwa sababu ya ujazaji form was hovyo mnalalamika
Lakini ukweli hamjui kusoma na kuandika
Mm Mtu akikosea kuandika huwa siendelei kusoma
Afadhali ikiwa typing error
Wewe ni nani kwanza na unajua nini katika ulimwengu huu. You are nothing na hujui kitu chochote katika dunia hii. Sasa kama wewe usipo soma mada yangu unafikiri mimi nitapungikiwa na nini? Kama kula nakula vizuri na naishi vizuri uzunguni.

Wewe kwanza pamoja na kujua kwako kusoma na kuandika kama unavyojiona mbona bado una ishi uswahilini na kutoa harufu mbaya ya kwapani? Na utaendelea kuishi kwenye nchi ya wanuka jasho tu kama wewe mpaka mauti yata kukuta. Wewe ni Falah sana!

Huko kujua kusoma na kuandika kwako kumesaidia nini kwenye kuondoa matatizo ambayo mji wako unakabiliana nayo kama haya ya mafuriko?

Hujui kujua kusoma na kuandika kwako unakufanya ule vitu ambavyo vina bacteria wa kutoka kwenye vinyesi vyako na vya watu wengine? Unajua kwa nini? Kwa sababu huna uelewa mpana wa maarifa. Ungekuwa na uwezo huo usingetoa argument ya elimu yako ya kingumbaru nama hii.

Dar es salaam ya leo kwa mafuriko haya yaliyotokea ukinunua kitu chochote kile cha kula kama; mchicha, samaki wa kukaanga, maandazi, chapati na kadhalika ujue unakula pia Colli bacteria kibao. Unajua kwanini? Kwa sababu mafuriko yaliyo tokea yanasababisha vyoo vya maeneo yote ya mafuruko kufumuka na vinyesi vya kutoka vyooni vina sambaa kila sehemu na kusababisha hawa bacteria kuwa kila sehemu mpaka kwenye miguu yako na mikono ya wauza hivyo vyakula. Matokeo yake mnaugua maradhi ambayo mngeweza kuyaepuka.

Je wewe unayejua kusoma na kuandika umesaidia kuzia hayo yasitokee? Na kama umeshindwa kufanya hivyo, itakuwaje unamzarau mwenzako anaye jua hata definition ya "Binomial coefficient"?

Mwenzako anayejua definition ya hii "Binomial coefficient", hata kama hawezi soma na kuandika anaweza akapiga mahesbu ya kudetermine ujazo wa maji kulingana na mvua iliyonyesha kwenye vituo vyao vya kupima hali ya hewa. Wewe unaye jua kusoma na kuandika unaweza ukaifanya kazi hiyo? Nafikri huwezi na hujui hiyo definition ina maana gani kwako.

Sasa niambie nani yuko bora kuliko mwingine. Ni wewe unayejua kusoma na kuandika na ukaweza jaza form za uchaguzi vizuri, lakini huna maarifa ya kujiprotect na jujiokoa mwenyewe kutoka kwenye majanga ya mazingira au yule anayejua kupiga mahesabu ya kujua wapi janga litatokea na la magnitude gani?

Sikiliza mkuu usijione kwa vile wewe unajua kusoma na kuandika ukadhani kuwa umesha maliza kila kitu, si kweli na wala usijidanganye hivyo, hicho ndicho kitu pekee ambacho wewe umejaliwa nacho, lakini kuna mambo mengi sana ambayo kwako ni kizungumkuti. Acha dharau za kijinga hizo.

Kwanza kama hujui, psychologically, mtu anaye ananza na dharau kama zako za kusema ooh "Mm Mtu akikosea kuandika huwa siendelei kusoma", wataalam wa psychoproblems wanasema mtu wa namna hii ana hitlafu fulani katika maisha yake. Ni mtu ambaye yuko abnormal. Ni mtu ambaye katika jamii hafai hata kuwa mwanachama. Ni mtu hatari na asiye kuwa na uwezo mkubwa wa ku reason. Ni mtu mwenye element fulani zu kuwa "Autist". Ni mtu mfu. Ni mzigo kwa jamii.

Mtu aliyekamilika ni yule ambaye anakuwa inquisitive kutaka kujua nini anamaanisha na kwa sababu gani? Mtu mwenye capacity kubwa ya ku analyse habari mawazo na kadhalika.

Kwa mtazamo wangu, nimejifunza kitu komoja kwa watanzania wa leo .
Kila kitu kwao ni siasa na itikadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…