Rais Magufuli, BoT wamefanyaje kuifanya Tsh. kuwa stable against USD?

Sio lazima uandike ili kukubalika, andika ukweli basi. Huu ni uongo mkuu.

Nov, 2005 1$ = 1191Tsh(average)
Nov, 2015 1$ = 2166Tsh(average)

Tangu Magu aingie dolla imecheza kwenye 2200 hadi 2350.

Samaki mkunje angali aja kaangwa nani ali kaanga huyo samaki kuanzia 2005
 
Huu ujinga unasaidia nini mwananchi wa kawaida? Hizo takwimu za kujipendekeza kwa mtukufu mwenyekiti wa CCM zina uhusiano gani na mateso njaa zinazowaandama mamilioni ya watanzania? Hakuna ajira wafanyabiashara wengi wamekimbilia Nchi jirani baada ya BOT kuwa inawapora pesa zao pindi wakitumiwa toka nje,
 

Sio lazima uandike ili kukubalika, andika ukweli basi. Huu ni uongo mkuu.

Nov, 2005 1$ = 1191Tsh(average)
Nov, 2015 1$ = 2166Tsh(average)

Tangu Magu aingie dolla imecheza kwenye 2200 hadi 2350.
Tena kumbe mimi nilipoteza data aisee, nilikuwa nadhani JK aliachia 1650. JPM kwa hili naona kajitahidi japo mengine hatuyajui
 
Mkuu mbona unachanganya mada, yawezekana ni kweli usemayo ila mi nimeuliza exchange rate. Kwa kesho nitauliza kwanini cement bei juu
 
Sio lazima uandike ili kukubalika, andika ukweli basi. Huu ni uongo mkuu.

Nov, 2005 1$ = 1191Tsh(average)
Nov, 2015 1$ = 2166Tsh(average)

Tangu Magu aingie dolla imecheza kwenye 2200 hadi 2350.
Chini ya utawala huu ndipo Akiba za Dola BOT zimepungua mno na shilling kuyumba kwani hakuna unafuu wa maisha kwa watu wa kawaida bali wafanyabiashara wanaumia kwa kuporwa pesa zao BOT kwa visingizio vya uonevu ndiyo maana wengi sasa wamefungua A/C kenya na Uganda Zambia ambapo Benk kuu za huko hawadhurumu wafanyabiashara pesa zao pindi zikitumwa toka nje
 
Tena kumbe mimi nilipoteza data aisee, nilikuwa nadhani JK aliachia 1650. JPM kwa hili naona kajitahidi japo mengine hatuyajui
Maisha kwa wananchi wa kawaida magumu mno amejitahidi nini?
 
swali hili lingekua lina mashiko kama dola ingerudi kua sawa na tsh 1700 had 1650 kama alivyoikuta na sio hio 2300tsh kwa dola 1.
vinginevyo we ni mlamba soli kama walamba soli wengine
Watetezi wa CCM mitandaoni mda wote hujitoa fahamu ndiyo maana hutetea hata ujinga bila aibu tshs 2300 kwa dola 1 eti ni maendeleo hayo? Kwa upumbavu huu CCM itakaa ikulu miaka yote mpaka mwisho wa Dunia
 
Kenya wanaruhusu pesa yeyote kuingia kwao bila kujali imetokea wapi na ni kwa ajili ya nini lakini shilling ya kenya ina thamani kubwa kuliko shilling ya Tanzania, wao kenya hawataki pesa itoke nje lakini wanaruhusu kuingia itumike nchini mwao hata China korea hawaruhusu pesa kutoka nje lakini wanaruhusu kuingia itumike Nchini mwao pasipo kutoka nje, Tanzania hawaruhusu pesa kuingia na hata ikiingia inaporwa na BOT inakosa mzunguko ndiyo maana uchumi haukui uwekezaji umedorola kwani wafanyabiashara hawana imani na BOT wanaogopa kuja kuwekeza Tanzania wanaenda Nchi zingine kusiko na usumbufu kama wa BOT
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuchekea toilet [emoji372]
 
Usumbufu wa BOT ndiyo umekimbiza wawekezaji Tanzania na ndiyo umeifanya shilling kushuka thamani badala ya kupanda thamani, sasa watu wengi hawaweki pesa Bank na hata wakitaka kutuma pesa zao hutumia Bank za Uganda na kenya kisha kusafirisha kwa barabara kuja Tanzania au hata kutimia boti majini toka mombasa kisumu Entebe kuja mwanza nk au hata mipaka ya Zambia,ni vigumu thamani ya shilling kukua endapo BOT wataendelea kuwapora wafanyabiashara pesa zao wanazotumiwa toka nje kwa visingizio vya uonevu na tusitegemee uwekezaji Nchini katika mfumo huo wa kibenk
 
kwa Hiyo kipindi cha kikwete tuli import more less na kuexport zaidi?
 
Acha uongo, sentensi zako zimejaa hasira kama hujaenda skuli legea bhana.Big shame
Si uweke ukweli wako hapa ili wanabody wapime wenyewe?? Aliwahi nukuliwa mukulu akisema watanzania siyo wajinga tunajua mchele na pumba!!!
 
Hivi mods takataka kama hii hapa jukwani inafanya nini sasa?
 

BOT imewakimbiza wawekezaji gani nchini mkuu?

Wahuni waliokua wanatumia mifumo yetu iliyokua haina meno kujichumia pesa nyuma ya mgongo wa uwekezaji unawajua?

Uwekezaji uliokua unawanyonya watanzania wa chini kabisa na kuwakandamiza kuendelea kubaki kwenye umaskini ukakoma baada ya mifumo kuanza kufanya kazi ndio unayoiongelea?

Shughuli rasmi zilizokua zinaendeshwa nchini bila kufuata maadili ya mtanzania na sasa zimetakiwa kuacha ndio unazisemea?

Ungeweka baadhi ya wawekezaji walioondoka sababu ya kunyanyaswa na BOT tujadili
 
[emoji23] [emoji23] [emoji86][emoji87][emoji85]
 
Hivi mods takataka kama hii hapa jukwani inafanya nini sasa?

Hizi ID na kujificha nyuma ya keybords zinawapoteza watu sana na ipo siku kutakua na majuto mengi

Wacha kazi iendelee
 
Mbona basi dollar imeendelea kuwa stable kipindi hiki, naomba maelezo ya kiuchumi katika hili.
 
Niliikuta ikiwa sh 5 Sasa Hadi 2319 eti hiyo nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…