We mlamba miguu wa Jiwe acha UONGO!!
Dola HAIJAWAHI kufikia Sh.2500 tangu taifa hili lizaliwe!! Kwahiyo hizo porojo zako za kutaka kuonesha Jiwe ndio kashusha kiwango from 2500 hadi kwa rate ya sasa, kawadanganye walamba miguu wenzako, vinginevyo weka hapa takwimu kuonesha ni lini dola ilifikia 2500/=
Jiwe kaingia madarakani wakati Dola 1 kwa wastani inauzwa kwa TZS 2150!!
View attachment 1636137
Kwamba mwaka 1996 Dola ilikuwa TZS 900, huo nao ni UONGO mwingine na hatimae kudhirisha unaongea kwa kuropoka tu bila kuwa na FACTS!!
January 1996 tulianza na Dola 1 kwa wastani wa TZS 560 na tulifunga mwaka December 1996 kwa wastani wa Dola 1 kwa TZS 606!!
Haya, tuwekee hapa takwimu zinazoonesha wakati fulani mwaka 1996, Dola 1 ilikuwa TZS 900, vinginevyo, ACHA UONGO!!!
Aidha, 2015 Annual Report inaonesha tulikuwa na Foreign Reserve ya USD 4.402 Billion lakini 2016 Annual Report inaonesha tulikuwa na Foreign Reserve ya 3.87 Billion... yaani ile Jiwe anaingia tu madarakani, foreign reserve inashuka!!!
Anyway, baadae ilianza kupanda tena lakini kufikia 2018 ikaanza tena kushuka, na hadi tunapoongea, wakati tunaelekea kumaliza mwaka, bado annual report haijawekwa hadharani... sijui Jiwe anaficha nini!!
View attachment 1636238
In short, the so-called shillings stability inatokana na government intervention, PERIOD!
Njia pekee inayokubalika inayoweza ku-stablize local currency au hata kuipandisha thamani over USD ni kuongezeka kwa export! Export from tourism imeathirika sana! Export kwenye korosho imeathirika sana!! The only export tunayofanya sana ni ya kwenda Kenya ambayo haitumiki USD... so how come ionekane shiling ipo stable kama sio serikali ina-influence dolar price?