Duuuh hii inafanyika??Chini ya utawala huu ndipo Akiba za Dola BOT zimepungua mno na shilling kuyumba kwani hakuna unafuu wa maisha kwa watu wa kawaida bali wafanyabiashara wanaumia kwa kuporwa pesa zao BOT kwa visingizio vya uonevu ndiyo maana wengi sasa wamefungua A/C kenya na Uganda Zambia ambapo Benk kuu za huko hawadhurumu wafanyabiashara pesa zao pindi zikitumwa toka nje
Acha kuogopesha watu wewee....
Mtu utukanwe uache kulipiza sababu Mama D atakuona na majuto?
Kafieni huko....
Sijui mpoje nyie...atukanwe mtu anyamaze sababu mmesema nyie?
Wakati wa Tawala zilizopita shilingi ilikuwa inacheza sana, ilikuwa haitulii kabisa. Hata JPM alipoingia madarakani kuna kipindi shilingi iliyumba sana hadi tukalamika hapa JamiiForum kuwa mabeberu kuna namna wanatuhujumu katika hili.
Badae serikali ikaingilia kati tatizo likaisha shilingi ikarudi 2270 kama nakumbuka vizuri. Tokea hapo ikashuka tena kidogo hadi 2300 na vipoint hivi . Tangu kipindi hicho shilingi imechezea 2300 hadi 2319, hili limedumu kwa muda mrefu sana.
Watalaam wa uchumi hebu tufafanulieni kipi kimetokea huku kuna tetesi kuwa uchumi wetu unasinyaa.
View attachment 1635734Kuna taasisi kubwa ya serikali inatoza taasisi nyingine za serikali kwa kutumia dola. Nimejiuliza tafsiri ya hii ni nini sijapata jibu bado
Well said good comment. Thank youIt has been fixed.
This is an example of currency revaluation and is is precisely why manufacturing companies like cement companies find it difficult to import raw materials
Mbona hapa jukwani una matusi hivi? Ina maana ukibishana kwa hoja utapungukiwa nini?Na wewe ndio kitu cha maana?
Wewe ni takataka kama mimi,you have no any moral authority above anyone here...
Acha kujipa vyeo weweee
2010 average usd ilikuwa 1200 TshYan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Umedandia hoja kichwani. Umesoma mstari mmoja tu kwenye kile alichosema unatoa hitimisho. Watanzania wengi kuna shida katika uelewaKwanini bado tunaagiza ngano na sukari nje? Hilo ndio swali alitakiwa ajiulize kwanza kabla hajatamka malalamiko yake. Vinginevyo ni porojo tu, wananchi tunalalamika na serikali inalalamika
Mbona huyo uliemtukana hajakutukana?Unipangia niache mihemko wewe nani?
Mihemko yangu,sio yako,ila cha ajabu unakimbilia kusema "acha" as if you that authority!
Nimetukanwa,its my right to defend myself,that decision is mine not yours wewe!
Nimetukanwa na mimi nikatukana inavyotakiwa,unachoongea wewe ni maoni of which are yours.
Upo na ID feki kama mimi,halafu upo hapa kunielimisha mwenye ID feki kama wewe eti "ID feki na upo nyuma ya keyboard,eti kuna majuto",......who cares about sentensi yako ya kinafiki hivi wakati huna tofauti na mimi?
Toka kwenye ID feki and then uje na verified ID,then uongee huu upumbavu!
Otherwise ni unafiki juu ya unafiki,huna cha kunifundisha chochote about ID feki wakati wewe ni mmojawapo,tena chiefly!
Jibuni hoja,acheni kutukana mtu mdhani eti na mimi sitatukana the same way kama sio zaidi!
Mnatetea serikali,teteni,tusioitaka tuacheni....jeez!
Fanya analysis usisubiri mimi nikutafutie. Fanya search na ulete mrejeshokwa Hiyo kipindi cha kikwete tuli import more less na kuexport zaidi?
Acha uongo 2015 kama mwezi wa 8 nimeuza tumbaku zangu kwa dola ilikua 2500 ikaja kushuka mpaka 2300Mimi ninavyokumbuka mpaka 2015.
Tayari dola moja ilifikia zaidi ya 2000
Sasa mzee umesoma ukaelewa au unakurupuka kwani mimi nimesemaje?Acha uongo 2015 kama mwezi wa 8 nimeuza tumbaku zangu kwa dola ilikua 2500 ikaja kushuka mpaka 2300
Wewe unakera sana acha wanaweza wakupe za uso tu.kutwa kucha unaandika upuuzi unadhani upo wa wapuuzi wenzio wa lumumbaMbona hapa jukwani una matusi hivi? Ina maana ukibishana kwa hoja utapungukiwa nini?
hutaki kufanyia Mtu analysis na unataka ufanyiwe research uletewe mrejesho?!Fanya analysis usisubiri mimi nikutafutie. Fanya search na ulete mrejesho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] mim sivui samak, nalima mbogamboga tu ambazo wanunuzi hawatumii dola
It has been fixed.
This is an example of currency revaluation and is is precisely why manufacturing companies like cement companies find it difficult to import raw materials
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unataka niwe naandika unachokipenda tuWewe unakera sana acha wanaweza wakupe za uso tu.kutwa kucha unaandika upuuzi unadhani upo wa wapuuzi wenzio wa lumumba
Swali la kilofa, hata wewe hujui so tulia huko... Wanaojua wangetiririka badala ya kuja na vimaswali vya jikoni.
Tuambie tafadhali