Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wala mm siyo muumini wa hivyo nnachojua weee kutumia akili yako unawatumikia wanaokutuma na kukulipa kama wapo wanalipa watu wenye akili fupi kama zako sitashangaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unataka niwe naandika unachokipenda tu
Inaweza kuwa kweli kwa sababu maduka ya kubadirisha pesa yamedhitiwa hivyo ubadirishaji holela umeondoka na kufanya mfumo wa imara.
IFRSAngalia exchange rate wakati JK anaingia na exchange rate wakati anatoka.na mpaka sasa JPM alipo.
Mnabishana bila kuwa relevant data .nimewapa relevant and reliable data.kazi kwenuView attachment 1635810View attachment 1635811View attachment 1635812
We mlamba miguu wa Jiwe acha UONGO!!Hiyo ni ya 2005. USD imekuwa ina-swing kwenye hiyo value. Kumbuka 1996 ilikuwa kwenye TZS 900! Alipokuwa Kikwete anaondoka iliruka hadi TZS 2500. kumbuka effect ya pesa za Escrow na ukombaji wa hazina kwa kuwa tu awamu ya Kikwete imekwisha.
Kinachojadiliwa, kwa nini imekuwa stable? Muhimu siyo kushusha exchange rate, muhimu ktk uchumi ni stability ya currency, exchange rate, FINITO!
Lakini ubaya ni kwamba wataalamu nao wanaikimbilia siasaSiku watu wakiacha wataalamu wafanye kazi zao na kuweka siasa pembeni mambo yatakuwa shwar kwa sasa acha sifa zitamalaki kuna siku mtaelewa tu!
Hizo sababu zako naona kama haziniingii, nikichukulia mfano DRC, wao kila kitu wanaagiza nje, ubadirishaji fedha ni holela cjawahi ona sehemu yoyote duniani!! Lakini mbona congo franc, ina thamani, zaidi kulinganisha na tsh. Kwenye us dollars?!!Kumbuka pia katika kudhibiti hili ofisi nyingi za kubadili pesa za kigeni (Bureau de Change) zilifungwa na watu wengi hasa wanasiasa walilalama sana. Hilo ilikuwa ni mojawapo ya njia kukabili hili kwani utakatishaji fedha ulifanyika kwa kiasi kikubwa katika maduka hayo.
Pia uhamasishaji wa matumizi ya bidhaa za ndani kupunguza uagizaji toka nje na kuongeza mauzo ya nje kumechangia. Utamsikia Magu anasema, ni aibu kuagiza ngano na sukari nje.
Tukiepuka kuagiza baadhi ya vitu kama sukari na ngano na vingine tunavyoweza kuzalisha hapa nchini tunakuwa tumepunguza uhitaji wa pesa za kigeni ikiwemo dola ya US.
Kwa maana hiyo sasa dola isipohitajika thamani yake inapungua, na pesa yetu ikahitajika zaidi ili watu waweze kununua kwetu ina maana shilingi yetu inazidi kuimarika.
Kitu kisipokuwa na wateja hukosa soko na thamani yake hushuka
Kama hizo ndio sababu kubwa dola moja ya US, ingekuwa ni sawa na congo franc 200,000!!!lakini licha ya hali yote ya congo DR, pesa ina badirishwa popote, tu, madini kila leo watu wanaiba, kuna baadhi ya maeneo kama jimbo la kivu kusini benki ni msamiati, wewe pesa zako utajua uzitunze wapi tena US DOLLAR!!! lakini dola 1=congo franc 2000!!!kinachofanyika hapa TZ, ndio kinachofanyika burundi, mfano burundi wanataka kulazimisha fedha yao ionekane na thamani kubwa kulinganisha na dola!! Bila kuzingatia sababu za kiuchumi, utakuta wanalazimisha watu waka change bank, tu wakati uki change mtaani kuna kama tofauti ya tsh. 500!!!zaidi,Funga maduka ya kubadilisha pesa kiolela
Kuwazibiti mabenki kwenye pesa amabazo BOT azijulikani
Zibiti madini,mazao n.k zitakazo julikana kuwa zinaleta pesa za kigeni
Zibiti watoa pesa na watuma pesa wote kwa sasa kuna leseni kabisa walikuwa wanakwepa
It has been fixed.
This is an example of currency revaluation and is is precisely why manufacturing companies like cement companies find it difficult to import raw materials
Acha kuongea upuuzi we mpumbavu , hivi unamiliki hata genge wewe kunguni wewe ?
Unajua mazingira ya uwekezaji na biashara yalivyo Tanzania mbwa wewe ?
Famba
Dah! Una elimu nzuri! Tatizo unatukanaaaa, utadhani kila mtu aligundua cheti feki chako. Sasa hiyo exchange rate unajua maana yake ktk uchumi? Maana historia ya kupanda na kushuka peke yake haisaidii kituWe mlamba miguu wa Jiwe acha UONGO!!
Dola HAIJAWAHI kufikia Sh.2500 tangu taifa hili lizaliwe!! Kwahiyo hizo porojo zako za kutaka kuonesha Jiwe ndio kashusha kiwango from 2500 hadi kwa rate ya sasa, kawadanganye walamba miguu wenzako, vinginevyo weka hapa takwimu kuonesha ni lini dola ilifikia 2500/=
Jiwe kaingia madarakani wakati Dola 1 kwa wastani inauzwa kwa TZS 2150!!
View attachment 1636137
Kwamba mwaka 1996 Dola ilikuwa TZS 900, huo nao ni UONGO mwingine na hatimae kudhirisha unaongea kwa kuropoka tu bila kuwa na FACTS!!
January 1996 tulianza na Dola 1 kwa wastani wa TZS 560 na tulifunga mwaka December 1996 kwa wastani wa Dola 1 kwa TZS 606!!
Haya, tuwekee hapa takwimu zinazoonesha wakati fulani mwaka 1996, Dola 1 ilikuwa TZS 900, vinginevyo, ACHA UONGO!!!
Aidha, 2015 Annual Report inaonesha tulikuwa na Foreign Reserve ya USD 4.402 Billion lakini 2016 Annual Report inaonesha tulikuwa na Foreign Reserve ya 3.87 Billion... yaani ile Jiwe anaingia tu madarakani, foreign reserve inashuka!!!
Anyway, baadae ilianza kupanda tena lakini kufikia 2018 ikaanza tena kushuka, na hadi tunapoongea, wakati tunaelekea kumaliza mwaka, bado annual report haijawekwa hadharani... sijui Jiwe anaficha nini!!
View attachment 1636238
In short, the so-called shillings stability inatokana na government intervention, PERIOD!
Njia pekee inayokubalika inayoweza ku-stablize local currency au hata kuipandisha thamani over USD ni kuongezeka kwa export! Export from tourism imeathirika sana! Export kwenye korosho imeathirika sana!! The only export tunayofanya sana ni ya kwenda Kenya ambayo haitumiki USD... so how come ionekane shiling ipo stable kama sio serikali ina-influence dolar price?
Ngoja tumsubir aje na jibu kama sio majibuYan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Ulishawahi ishi au kufika Congo? Unaijua Balance of trade kati ya DRC na mataifa mengine? Je wajua DRC matumizi ya USD na DRC franc yanaenda sambamba dukani waweza nunua kwa dollar au francHizo sababu zako naona kama haziniingii, nikichukulia mfano DRC, wao kila kitu wanaagiza nje, ubadirishaji fedha ni holela cjawahi ona sehemu yoyote duniani!! Lakini mbona congo franc, ina thamani, zaidi kulinganisha na tsh. Kwenye us dollars?!!
NImekuambia weka ushahidi wa hayo uliyosema otherwise utakuwa muongo tu kama kawaida yenu misukule ya Lumumba!!! Na nimekuambia hapo mambo yanayoweza ku-stablize local currency na hata kuifanya thamani yake kupanda over USD!!!Dah! Una elimu nzuri! Tatizo unatukanaaaa, utadhani kila mtu aligundua cheti feki chako. Sasa hiyo exchange rate unajua maana yake ktk uchumi? Maana historia ya kupanda na kushuka peke yake haisaidii kitu
Mataga wanasifia sifia tu bila dataYan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Nimeishi sana,Ulishawahi ishi au kufika Congo? Unaijua Balance of trade kati ya DRC na mataifa mengine? Je wajua DRC matumizi ya USD na DRC franc yanaenda sambamba dukani waweza nunua kwa dollar au franc
Na wewe muongo.
Acha chuki!