Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.

Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa

Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi

Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi

Lakini mbona Rais yuko kimya, hata kutuma kijitwiti cha kusikitishwa na kifo chake?

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
 
Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa...

Mo alipotekwa wala hakuguswa sembuse Subash.

Au nasema uongo??!🤣
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ameshindwa hata kutoa pole ya kuigiza kama alivyofanya kwa Lissu.
 
Jiwe hawapendi matajiri. Tangu aingie matajiri kibao wanaenda peponi. Lengo la jiwe ni kwamba anataka wabakie watanzania maskini tupu ili atawale nchi mpk atakapopendwa na muumba

Lkn kwa maombi ninayofanya asipopumzika kwa amani huyu jiwe sijui.
 
Kikwete kaenda
Mwinyi leo kaenda
Magufuli naye itakuwa anajipanga kwenda
Muda bado wazee tusipende kuwa watu wa kuhisi
Tofauti

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.

Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa

Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi

Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi

Lakini mbona Rais yuko kimya, hata kutuma kijitwiti cha kusikitishwa na kifo chake?

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Ulitaka umuone analia live kwenye luninga? Ndio ujue ameguswa?
 
Subiri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe aanze kuharisha tu, utasikia nachukua kijilikizo nakwendra kujificha na wasukuma watani wangu.
 
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.

Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa

Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi

Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi

Lakini mbona Rais yuko kimya, hata kutuma kijitwiti cha kusikitishwa na kifo chake?

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Huwa hawapendi watu weupe
 
Kuna mtu alisema anataka matajiri waishi kama mashetani. Ninakumbusha tu.
 
Back
Top Bottom