Uchaguzi 2020 Rais Magufuli hakumtuma mzee Aggrey Mwanry kugombea Tabora, amemstaafisha

Mimi sikuona tija yake. Naamini haipo na ndio haipo kweli.

Kama wewe unaweza kutaja hizo tija zitaje, nitafuta kauli. Simple.

Taja tija.
 
Wapi nimesema Mwanri anagombea Tabora Mjini. Umesoma ukaelewa?

Sasa Mwanri kaingiaje kwenye habari za Ubunge Tabora mjini?

Ndo maana huyo kakuita we ni Mollel

Uzi wakwako mwenyewe umeandika maushuzi hadi unashindwa kuelewa Wachangiaji wanasema nini

Muache Mzee wa watu apambane na Siha yake nyie pambaneni na Tabora yenu

Na bado hamkawii kumpitisha yule Msomali wa Simba anayetembea na bastola kiunoni. Ngoja achukue form
 
Vijana mliozaliwa 1982 mnae tamaa!!
Ridhikeni na mishahara yenu
 
Mimi sikuona tija yake. Naamini haipo na ndio haipo kweli.
Well,
HUKUONA haimaanishi wengine hawajaona, na hilo tuwaachie wapiga kura anakoenda kuomba ridhaa yao waamue kama wameona kuna tija.

Pili umenena vyema kwamba una AMINI, IMANI siyo uthibisho wa ukweli au uhalisia wa unachoamini upo sahihi. Ndiyo maana wengine wana amini Mungu yupo wengine hayupo, wengine wanaamini Mungu wao ni kitu flani au mnyama flani na wengine wanaamini Mungu tofauti ambae haelezeki vizuri umbo lake au wapi yupo(wanasema yupo mbinguni-Je mbinguni ni wapi?).
Katika hawa wote huenda mmojawapo yupo sahihi wengine hawapo sahihi au wote wapo sahihi au hawapo sahihi wote.
 
Tija iko wapi? Unazunguka sana.
 
Kweli tuna tatizo kubwa la ufahamu kama nchi. Umesoma ukaelewa kweli?

Hebu tulia, halafu soma tena. Utaelewa tu. Una haraka gani?
 
Tija iko wapi? Unazunguka sana.
Tija wataamua wapiga kura wake siyo mimi au wewe.
Mimi siyo wajibu wangu kusema kuna tija au hakuna ila wewe wajibu wako kutetea madai yako kwamba hakuna tija.
Mimi nakataa mitizamo binafsi na kujumuisha kwamba huo ni ukweli ukizingatia unaoita ukweli unajaribu kubomoa wasifu wa mtu.

Kibaya zaidi unaongozwa na hisia, mfano umenihukumu mimi kijana wa siku hizi pale mwanzo huku haunijui umri wangu, unaweza kukuta mimi ni mkubwa sana kwako.
 
Kampeni zimeanza mkuu?
 
Hata yeye amekaa kimaslahi, kuhamasisha koote kumbe alilenga kugombea
 
Kwa taarifa yako Mtwale hana chake Tabora mjini, pale kuna Dickson Mlimuka, Mchele, Wazambi na wengineo. Muda utakuwa shahidi.
 

Yaani ulivyomwongelea Mwanri umemuongelea kama wewe ndio JPM sasa au mlikaa mahali na JPM mkawa mnapiga soga na akakueleza haya

wewe ni Mchawi, MTU anayeweza kutunga kitu, akakipa sura ya ukweli ni MCHAWI!!!

Najua utashtuka kuambiwa haya, ila umkosea kusemea mioyo ya watu, kibaya unamsema mwingine unayempenda wewe kana kwamba anakoenda hataki hela??

wewe ni mchawi.period
 
Tija haijifichi mkuu. Wewe unajua kabisa hakuna tija ndio maana unazungusha maneno tu hapa unashindwa kutetea hoja yako.

Mimi sina cha kuthibitisha kwa sababu kisichokuwepo hakithibitiki. Wewe unayesema kipo ndio ulipaswa kuthibitisha uwepo wake.

Umri wako una uvulana mwingi.
 
Kwahiyo hoja yako mimi ni mchawi!
 
Kwa taarifa yako Mtwale hana chake Tabora mjini, pale kuna Dickson Mlimuka, Mchele, Wazambi na wengineo. Muda utakuwa shahidi.
Hao wamefanya jambo gani? Kama wanafit zaidi ni sawa tu.
 
Unaona hapa kwamba hisia siyo uhalisia?
Na wewe unaendeshwa na hisia?

Unajuaje kama mimi ni kijana wa siku hizi wakati haujui umri wangu?
Ndio ujikague kwanini nimekulinganisha na vijana wa siku hizi.
 
Huyo unayempigia debe ameshachafua taswira yake,Chama na Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…