Uchaguzi 2020 Rais Magufuli hakumtuma mzee Aggrey Mwanry kugombea Tabora, amemstaafisha

Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.

Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge. Aliona akigombea Tabora itamgeuka, akahamisha goli makusudi ili kuficha dhamira yake. Siasa za hivi zinaboa!

Ndio maana, Rais akaamua kutengua uteuzi wake na kumsitiri kwa kusema amestaafu. Ukweli ni kwamba alimshtukia kuwa naye ni miongoni mwa viongozi wenye tamaa. HARIDHIKI. Akamuweka kando.

Tabora kuna vijana ni watendaji na wamehamasisha maendeleo ya kweli kwa muda mrefu. Umaarufu kwao si kitu, bali utendaji wenye impact.

Leo nimefurahi kuona mmojawapo wa watu ninaowafahamu kuamua kujitokeza front kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni. Angalau maigizo yatapumzika.

Huyu chalii amekuwa Mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tabora (Tabora Economics and Social Development Organization -TESDO).

Anaitwa Hamisi Masoud Mtwale (sina uhakika na usahihi katika jina la mwisho). Nimeona amejitosa kuomba ridhaa katika Jimbo la Tabora Mjini.

Natamani wenye majina maarufu wakatwe na wapitishwe watu wa hivi. Wengi wamekaa kimaslahi zaidi badala ya kitumishi. Imagine mtu kama Steve Nyerere!!!View attachment 1508862
So uzi wako ni kutuonesha huyo jamaa yako.Umelipwa sh ngap
 
Ntwale ndiyo huyo aliyeshindwa kuendesha hiyo TESDO ataweza kuongoza wananchi kama mbunge ?

Kwenye vikao tulikuwa tunaishia kutoa maazimio mengi sana lakini utekelezaji haufanyiki.

Hivi kuhamasisha maendeleo ni kwenda kufundisha tuition tu maana ndiyo kitu pekee TESDO waliweza kufanya walau kwa mwaka mmoja tu.
 
Mwanri anafahamika utendaji wake toka akiwa naibu waziri tamisemi alimzidi hata majaliwa,kaupepo ka chadema kaskazini 2015 ndio kalimharibia pale jimboni kwake siha mpaka mchovu mollel akachkua jumbo. Nisahihi yeye kulirudia jimbo lake ukuu was mkoa ulikuja by the way...
Heko Mwanri nasafari hii utashinda kwa kishindo wasiojua watulize ujinga wao
 
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.

Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge. Aliona akigombea Tabora itamgeuka, akahamisha goli makusudi ili kuficha dhamira yake. Siasa za hivi zinaboa!

Ndio maana, Rais akaamua kutengua uteuzi wake na kumsitiri kwa kusema amestaafu. Ukweli ni kwamba alimshtukia kuwa naye ni miongoni mwa viongozi wenye tamaa. HARIDHIKI. Akamuweka kando.

Tabora kuna vijana ni watendaji na wamehamasisha maendeleo ya kweli kwa muda mrefu. Umaarufu kwao si kitu, bali utendaji wenye impact.

Leo nimefurahi kuona mmojawapo wa watu ninaowafahamu kuamua kujitokeza front kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni. Angalau maigizo yatapumzika.

Huyu chalii amekuwa Mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tabora (Tabora Economics and Social Development Organization -TESDO).

Anaitwa Hamisi Masoud Mtwale (sina uhakika na usahihi katika jina la mwisho). Nimeona amejitosa kuomba ridhaa katika Jimbo la Tabora Mjini.

Natamani wenye majina maarufu wakatwe na wapitishwe watu wa hivi. Wengi wamekaa kimaslahi zaidi badala ya kitumishi. Imagine mtu kama Steve Nyerere!!!View attachment 1508862
So what?
 
Tija haijifichi mkuu. Wewe unajua kabisa hakuna tija ndio maana unazungusha maneno tu hapa unashindwa kutetea hoja yako.

Mimi sina cha kuthibitisha kwa sababu kisichokuwepo hakithibitiki. Wewe unayesema kipo ndio ulipaswa kuthibitisha uwepo wake.

Umri wako una uvulana mwingi.
Tuishie hapa mkuu inatosha.
Tukubaliane kutokubaliana.

Happy now?

Sababu ukitaka kuleta kanuni za uthibitisho kwa kanuni za kimantiki, nikikupa mfano mmojatu wa jambo lenye tija kati ya yale aliyofanya na kuvuma kwenye media nitakuwa nimepangua moja kwa moja hoja yako ya kusema kisichokuwepo hakithibitiki ktk hili la tija.

Hiyo itakuwa proof by 'counter example' unayotaka, na labda nikuibie siri kidogo ninayo mifano zaidi ya miwili ya hype zake ambazo tija kwa jamii aliyoilenga na huyo mtaalam wako uliye mnadi hapa hakushiriki kitu. We better leave things they are, hapa isiwe sehemu ya kampeni mkuu.
 
Tija haijifichi mkuu. Wewe unajua kabisa hakuna tija ndio maana unazungusha maneno tu hapa unashindwa kutetea hoja yako.
Hivi unaelewa au kukumbuka mtiririko wa ulicho andika mwanzo hadi kufikia hapa?
Mwenye akili ya utu uzima umesahau kama wewe ndiyo umekuja na hoja kisha mimi nikakutaka utetee hoja yako?

Au nikukumbushe hoja yako?
Hoja Yako ni hiyo hapo chini, zingatia maneno yaliyo kolezwa wino (notice emphasis on bold fonts)
Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge.
Mkuu unaleta Thesis yako kisha unashindwa kuitetea unataka walio hoji uhalali au ukweli wa proposition yako ndiyo wathibitishe kama upo sahihi au haupo sahihi?!!! Eti unajitetea mimi sikuona kitu?????!!!!
Tetea thesis yako mkuu.
 
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.

Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge. Aliona akigombea Tabora itamgeuka, akahamisha goli makusudi ili kuficha dhamira yake. Siasa za hivi zinaboa

Ndio maana, Rais akaamua kutengua uteuzi wake na kumsitiri kwa kusema amestaafu. Ukweli ni kwamba alimshtukia kuwa naye ni miongoni mwa viongozi wenye tamaa. HARIDHIKI. Akamuweka kando

Tabora kuna vijana ni watendaji na wamehamasisha maendeleo ya kweli kwa muda mrefu. Umaarufu kwao si kitu, bali utendaji wenye impact

Leo nimefurahi kuona mmojawapo wa watu ninaowafahamu kuamua kujitokeza front kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni. Angalau maigizo yatapumzika.

Huyu chalii amekuwa Mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tabora (Tabora Economics and Social Development Organization -TESDO).

Anaitwa Hamisi Masoud Mtwale (sina uhakika na usahihi katika jina la mwisho). Nimeona amejitosa kuomba ridhaa katika Jimbo la Tabora Mjini.

Natamani wenye majina maarufu wakatwe na wapitishwe watu wa hivi. Wengi wamekaa kimaslahi zaidi badala ya kitumishi. Imagine mtu kama Steve Nyerere!!!View attachment 1508862
Hata kujipigia debe hujui...we utakatwa mapema Sana...pole!
 
Hapa mlengwa wa uzi wako ni huyo Bw Mtiania, Mwanri umemtumia tu kama ngazi.
 
Tuishie hapa mkuu inatosha.
Tukubaliane kutokubaliana.

Happy now?

Sababu ukitaka kuleta kanuni za uthibitisho kwa kanuni za kimantiki, nikikupa mfano mmojatu wa jambo lenye tija kati ya yale aliyofanya na kuvuma kwenye media nitakuwa nimepangua moja kwa moja hoja yako ya kusema kisichokuwepo hakithibitiki ktk hili la tija.

Hiyo itakuwa proof by 'counter example' unayotaka, na labda nikuibie siri kidogo ninayo mifano zaidi ya miwili ya hype zake ambazo tija kwa jamii aliyoilenga na huyo mtaalam wako uliye mnadi hapa hakushiriki kitu. We better leave things they are, hapa isiwe sehemu ya kampeni mkuu.
Maneno matupu.

Ukweli huna tija unayoweza kuithibitisha hapa, ndio maana unajizungusha tu muda wote na hizo blah blah.

Next time ujipange.
 
Hivi unaelewa au kukumbuka mtiririko wa ulicho andika mwanzo hadi kufikia hapa?
Mwenye akili ya utu uzima umesahau kama wewe ndiyo umekuja na hoja kisha mimi nikakutaka utetee hoja yako?

Au nikukumbushe hoja yako?
Hoja Yako ni hiyo hapo chini, zingatia maneno yaliyo kolezwa wino (notice emphasis on bold fonts)

Mkuu unaleta Thesis yako kisha unashindwa kuitetea unataka walio hoji uhalali au ukweli wa proposition yako ndiyo wathibitishe kama upo sahihi au haupo sahihi?!!! Eti unajitetea mimi sikuona kitu?????!!!!
Tetea thesis yako mkuu.
Yaani natakiwa kuthibitisha kitu ambacho hakipo? Unachekesha.

Nimesema hakuna tija. Ni kweli siwezi kuthibitisha kwa sababu HAIPO. Au nathibitishaje kitu kisichokuwepo?

Wewe unayesema ipo, onesha ilipo. Iko wapi?
 
Ingekuwa promo ningeenda straight. Nimejaribu kuonesha hali halisi. Wapi nimeongopa? Vijana wa siku hizi bhana.
Umezingua mkuu.
Mwache mzee wa watu akajaribu bahati yake Siha, kumuAttack haikusaidii lolote. Sana sana unajionyesha jinsi ambavyo huna taarifa/hauko aware na mambo yanavyoenda.

Tangu lini Mwanri amegombea Tabora mpaka umuone ameamua kuikimbia Tabora?! Tabora aliletwa na Raisi na amestaafu. Sasa kurudi kwao kugombea umeona ni dhambi!? Kuwa muungwana, Siasa Chafu haitakusaidia kitu.
 
Hovyooo uandishi wa hovyooo. Hivi hujui kwamba Mzee Mwanry aliwagi kuwa mbunge wa Siha na naibu Waziri katika awamu ya nne chini ya Jakaya Kikwete? Atagombeaje Tabora wakati abajua fika yeye si mwenyeji wa huko na ana jimbo lake wanalomjua la Siha?
 
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.

Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge. Aliona akigombea Tabora itamgeuka, akahamisha goli makusudi ili kuficha dhamira yake. Siasa za hivi zinaboa

Ndio maana, Rais akaamua kutengua uteuzi wake na kumsitiri kwa kusema amestaafu. Ukweli ni kwamba alimshtukia kuwa naye ni miongoni mwa viongozi wenye tamaa. HARIDHIKI. Akamuweka kando

Tabora kuna vijana ni watendaji na wamehamasisha maendeleo ya kweli kwa muda mrefu. Umaarufu kwao si kitu, bali utendaji wenye impact

Leo nimefurahi kuona mmojawapo wa watu ninaowafahamu kuamua kujitokeza front kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni. Angalau maigizo yatapumzika.

Huyu chalii amekuwa Mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tabora (Tabora Economics and Social Development Organization -TESDO).

Anaitwa Hamisi Masoud Mtwale (sina uhakika na usahihi katika jina la mwisho). Nimeona amejitosa kuomba ridhaa katika Jimbo la Tabora Mjini.

Natamani wenye majina maarufu wakatwe na wapitishwe watu wa hivi. Wengi wamekaa kimaslahi zaidi badala ya kitumishi. Imagine mtu kama Steve Nyerere!!!View attachment 1508862
Ukajiona umeandika poiiiiint! Hahahaha. Kichwa cha habari kinashangaza, Contents inachekesha.
 
Yaani natakiwa kuthibitisha kitu ambacho hakipo?

Nimesema hakuna tija, siwezi kuthibitisha kwa sababu HAIPO. Au nathibitishaje kitu kisichokuwepo?

Wewe unayesema ipo, onesha ilipo. Iko wapi?
Unataka kuniambia zile kauli na vitisho dhidi ya wanao ozesha watoto wa shule au watoto wadogo hakuna tija kwa jamii?

Unataka kuniambia zile kelele na ubabe wake kwa watumishi ambao hawafuatilii majukumu yao kwenye kazi nje ya ofisi kama wahandisi, hawafuatilii ubora wa kazi hakukuwa na tija?
Haikukumbusha watu uwajibikaji na ufuatiliaji wa kazi flani hadi uhakikishe zinafikia tamati kama ilivyopangwa kwamba hiyo nayo ilikuwa siyo tija kwa jamii?

Sijui utu uzima wako unakusaidia nini kutambua tija au visivyo tija!

Need I say more? You wanted counter example there it is.

Ukitoa madai yoyote yanayo jaribu kumshusha mtu fulani au kuikataa kazi yake basi jifunze kuandaa jinsi ya kutetea madai yako.
Siyokuwadai uthubitisho wanao hoji tuhuma zako zinatokana na nini, kisha unakimbilia kwenye hisia, au unasema hauoni kitu.

Ni kweli umehisi na haujaona lakini haimaanishi wenzio wamehisi kama wewe na hawajaona kama wewe.

Hivyo vitu ni relative, ni perception, people perceive same thing differently and they could all be right or wrong, or one is wrong and another is right depending on the angle or position they view that thing. It depends on what you want to see or hear and you will eventually pay attention on that and ignore other details.
That is the trap of perception, The Invisible Gorilla.
www.chabris.com/Simons1999.pdf
The Invisible Gorilla: A Classic Experiment in Perception
 
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.

Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.

Umaarufu huo haukuwa na tija bali ulilenga kumjenga mwanasiasa huyu mkongwe kuja kugombea tena ubunge. Aliona akigombea Tabora itamgeuka, akahamisha goli makusudi ili kuficha dhamira yake. Siasa za hivi zinaboa

Ndio maana, Rais akaamua kutengua uteuzi wake na kumsitiri kwa kusema amestaafu. Ukweli ni kwamba alimshtukia kuwa naye ni miongoni mwa viongozi wenye tamaa. HARIDHIKI. Akamuweka kando

Tabora kuna vijana ni watendaji na wamehamasisha maendeleo ya kweli kwa muda mrefu. Umaarufu kwao si kitu, bali utendaji wenye impact

Leo nimefurahi kuona mmojawapo wa watu ninaowafahamu kuamua kujitokeza front kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni. Angalau maigizo yatapumzika.

Huyu chalii amekuwa Mwenyekiti wa asasi ya kiraia ya kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tabora (Tabora Economics and Social Development Organization -TESDO).

Anaitwa Hamisi Masoud Mtwale (sina uhakika na usahihi katika jina la mwisho). Nimeona amejitosa kuomba ridhaa katika Jimbo la Tabora Mjini.

Natamani wenye majina maarufu wakatwe na wapitishwe watu wa hivi. Wengi wamekaa kimaslahi zaidi badala ya kitumishi. Imagine mtu kama Steve Nyerere!!!View attachment 1508862
Ninaamini huyu mzee angegombea Tabora angepita kwa kishindo. Ukweli usemwe, Mwanri ameinyoosha Tabora ikanyooka. Huyo mhamasishaji wako mnajuana ninyi wawili, lakini isiwe sababu ya kumbeza mzee Mwanri.
 
Maneno matupu.

Ukweli huna tija unayoweza kuithibitisha hapa, ndio maana unajizungusha tu muda wote na hizo blah blah.

Next time ujipange.
Yaani natakiwa kuthibitisha kitu ambacho hakipo? Unachekesha.

Nimesema hakuna tija. Ni kweli siwezi kuthibitisha kwa sababu HAIPO. Au nathibitishaje kitu kisichokuwepo?

Wewe unayesema ipo, onesha ilipo. Iko wapi?
Wewe nimwepesi sana sasa nimekujibu hapo juu na nimekupa homework ukasome tena unapotaka kufanya mijadala usijifunge na fikra, hisia na mitazamo yako tu.

Kuna vingine vipo mbele ya macho yako lakini hauvioni na wenzio wanaviona.
Nakuongezea na hiyo chini upitie baada ya kujifunza hivyo nilivyokutumia juu.
 
Watia nia wote lengo ni moja tu hakuna msafi.wote wanatamani pesa na ulaji

Na ndo wa kwanza kuwambia vijana wajiajiri *****
 
Back
Top Bottom