Uchaguzi 2020 Rais Magufuli hakumtuma mzee Aggrey Mwanry kugombea Tabora, amemstaafisha

Kampeni manager una mikwara mbuzi sana.
 
Acha mbwembwe. Aggrey Mwanri umri wa kustaafu ulishapitiza. Amestaafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma. KAMA umeleta tangazo la kujinadi basi hapo umechemka. Endelea kujaza fomu yako na rejesha.
 
Mkuu kama unajifunza siasa rudi kwanza shule, kama umekula pesa ya mtu ya kampeni mrudishie muombe ujitolee kumfanyia bure kwanza ukiwa kama mwanafunzi wa kujitolea.

Wewe umri mdogo sana kuliko unavyojidhania ndiyo maana unabishana kitoto na siasa zako nyepesi, siasa majitaka (gutter politics).

Siasa zako kukimbilia kumpondea mtu mazuri yake badala ya kusema mazuri yako kwa ufasaha zimepitwa na wakati. Unamsaidia yule mzee apate airtime nzuri ssna.

Angalia mjadala wako ulivyogeuka wa kumtangaza na kujadili zaidi mambo makubwa ya Mzee Mwanry badala ya kujadiliwa mgombea wako.

Fanya tathmini angalia watu wangapi wamemtaja au kumjadili huyo mgombea wako? Huoni umesababisha mzee apate platform kubwa ya kampeni?

You want to be older than me, then act like one!
 
Aisee hili Jembe nimechukua fomu Siha? KAMA ndivyo nimefurahi sana. Ni Jembe la chuma cha pua hana mpinzani
 
Watu wanachoka ukuu wa mkoa hata Ole Sendeka leo ameamua kwenda kugombe ubunge Simanjiro. Kuna shida kwenye nafasi za wateule wa rais, wanakimbia.
Mbona hamuongelei kuwa wanakimbia maagizo kutoka juu ambayo mengine ni magumu kutekelezeka mkoani?
Kwa mfano kuwakamata wapinzani, kuwabambikia kesi hata pale panapoonekana na jamii ni uonevu wadhani haiwasumbui wao katika jamii wanazotoka?
Usione wanatangaza nia coz they want to be free from "you must do this and that no matter people perceive you otherwise"
 
Nimesooma hoja yako sijaelewa kabisa!
Ila ulichofurahisha Ni pale unapotrtea Utopolo uliowasilsha ,Mwanry Ni Kiongozi tatizo Ni Chama chake tu!
 
Dah

Upupu mtupu
 
Watu wanachoka ukuu wa mkoa hata Ole Sendeka leo ameamua kwenda kugombe ubunge Simanjiro. Kuna shida kwenye nafasi za wateule wa rais, wanakimbia.

Pamoja na povu la JPM bado wanamkimbia! Si RCs tu Bali sasa wamo DCs, Permanent Secretaries (PSs), Directors General DGs) , nk. Wameona kitu. Kuna shida ama binafsi au ya kiutawala.
 
Mwanri lazima atoboeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…