hizi siasa zitakuja kutuua kama kuku sisi, haya na mask mmeambiwa zina corona tembeeni midomo na pua wazi mfe kama kuku
Leo kasema Coronavirus ni hatari,wakati juzi juzi alituambia Coronavirus ni kaugonjwa kadogo tu...Camp David ni ya Maraisi wote wa Marekani.
..huyu bwana ni muongo.
..anatuambia tusiwe na hofu, wakati yeye kajificha Chato.
Mama havizya ana papai!
Kajificha wapi?..shida yangu ni yeye kujificha wakati taifa linapita ktk msukosuko.
Hahahaaaa....... Kamanda kuna ile ajali ya basi la Aboud Singida vipi uliishuhudia?Jo kuna wakati unakuwa kama mwezi mchanga
Jr[emoji769]
Lakini sio ikulu pili raisi sio muongo tatu piga kazi huwezi nenda kwenu kajifungie hakuna atakae kutoa au huna kwenu nne au nataka nawe kwenda chato maanake hatujui unataka nini..Camp David ni ya Maraisi wote wa Marekani.
..huyu bwana ni muongo.
..anatuambia tusiwe na hofu, wakati yeye kajificha Chato.
Sasa kama rais anaongea watu si lazima wamjadili ...hata kwa wasiomkubali ukweli yeye ndio rais hivyo lazima kila kimtokacho mdomoni kitachambuliwaKweli ule msemo wa banian mbaya kiatu chake dawa. Hatimae nimeuona kwenye siasa
Baada ya rais magufuli kukaa kwa muda kadhaa bila kuongea chochote watu walikua wamesha kosa Cha kufanya Wala chakuongea. Mpaka ikafikia hatua zito akaonyesha hisia zake kwa maguful na kumtaka ajitokeze azaran Kwan wame mmis.
Leo rais kaongea kwa muda mchache tu lakini jamiforums na mitandao mingine iko inaenda ku stack sababu ya ubize hasa jamiforums Kuna Uzi mpaka unashindwa usome ip uache ip.
Kiufup magufuli kuto kuongea au kufanya shughuli zozote zile wanao athirika Kwanza ni upinzan sababu wanakua hawana hoja za kuongea Wala za kufanyia siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tuwe kule kwetu. Hata mimi kwa hizi hasira leo mwisho!Kuanzia kesho siingii JF maana hii Serikali inabore sana.