Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kwani hajatia hofu wananchi kwa madai yake labda ilisambazwa makusudi? Ni kawaida kwa mtu wa kawaida kufikiri korona ilisambazwa makusudi na wageni, je ni kawaida kwa kiongozi kuwa paranoid hadharani?

Mie pia nilifikiri korona itasambazwa na wazungu au wachina kabla haijaingia kwetu, lakini mie ni mtu wa kawaida mwenye paranoia, baada ya kufikiri nilipuuzia wazo hilo.
Mbona hujamtuhumu Trump kwa lawama anazozitoa hadhalani kwa china? Au Trump siyo mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nimeona hofu ndio inatamalaki zaidi kuliko corona, yan hivi ukipiga chafya tu lazima uanze kuitafakari hii chafya imetoka wapi au kwann nimepiga chafya au ni corona? Hapo usiombe uwe umezungukwa na watu kadhaa lazima wakutolee mimacho hadi ujisikie woga.

Yaan kuna MTU anaweza umwa kitu kingine kabisa lakini kwa kuwa dalili zinafanana na zile dalili tajwa za corona, moja kwa moja mchecheto unaanza kuwa ameambukizwa lakini hata watu wa Karibu nao msisitizo utakuta ni mkubwa kuwa itakuwa corona, hali inayopelekea mgonjwa kujawa na hofu lakini kama ana magonjwa mengine kama vile presha akapoteza maisha kwa mshituko
 
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
Mungu hakujali vatican ije siye tunaopigana risasi kwa sababu ya siasa? Jilinde na kuzingatia maelekezo ya WHO na kuomba, kuomba Mungu pekee bila juhudi zako hakuwezi kukuepusha.
 
Kila mwezi tunalipa Bilioni 700 kwa madeni ambayo karibu Bilioni 200 inaenda World Bank. Sasa kwasababu wao wameguswa na ugonjwa huu hasa World Bank watusamehe madeni hata kwa percentage ili hela zitumike kupambana na Corona
Kwa hali ilivyo sasa, nikizingatia takwimu tulizonazo, sioni kama kuna haja ya kuwapigia magoti WB
 
Kwani hajatia hofu wananchi kwa madai yake labda ilisambazwa makusudi? Ni kawaida kwa mtu wa kawaida kufikiri korona ilisambazwa makusudi na wageni, je ni kawaida kwa kiongozi kuwa paranoid hadharani?

Mie pia nilifikiri korona itasambazwa na wazungu au wachina kabla haijaingia kwetu, lakini mie ni mtu wa kawaida mwenye paranoia, baada ya kufikiri nilipuuzia wazo hilo.
Raisi Magufuli chapa kazi achana na hawa vigagura

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kila mwezi tunalipa Bilioni 700 kwa madeni ambayo karibu Bilioni 200 inaenda World Bank. Sasa kwasababu wao wameguswa na ugonjwa huu hasa World Bank watusamehe madeni hata kwa percentage ili hela zitumike kupambana na Coronau

Magufuli hili la mkopo ndio limekufanya uongee. Uhai wetu wa Tanzania wala sio shida kwako, umekopa peke yako na familia yako "mtoto wadada"
Lipa deni na familia yako.
 
Mi wananiudhi sana hawatangazi waliopona.Sijui lengo lao ni nini!

Tusipoangalia hapa kuna madaktari wanaweza kutengeneza pesa sana kupitia janja janja kwenye huu ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
 
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
 
Ngonja nikujibu upya. Sikujua kama ni wewe Fundi Mchundo. Yes Olny in Tanzania. Umeona Giuseppe kakimbia Ikulu kuu?Macron kakimbia ikulu ?Trump kakimbilia Florida ?Mseven kakimbia Kampala ?Uhuru je ?Huyu Rais wa kutuambia tujifukizie mfuke wa above 100'C?Tule vitunguu.
Again kakimbia Ikulu kuu kaenda kijijini sababu ya Coronavirus. 😥😥😥

Mwanamke gani mjuaji hivi? 😂
 
Back
Top Bottom