Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Mkuu wetu amekumbusha tiba za asili ,ndio salama na tunamudu.Mara nyingi tumetoa rai kamati ya taifa itupe elimu na hamasa si lazima kila mgonjwa afike hospitali.Wengi tutajenga kinga immune na kuwakabili virus na kuendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es salaam magari ya fumigation yalipita mitaani watu wakaamini wadudu wa Corona wanadhibitiwa kumbe ni mende na viroboto.

Iringa mkuu wa wilaya aliwataka wananchi wa mkoa huo wawakwepe watu wanaotoka Dar es salaam kama vile ukoma, kumbe siyo kila atokaye Dar ni muathirika.

Mwenyekiti wa Chadema alipendekeza lockdown kumbe hilo halitawezekana, Dar pekee ina watu zaidi ya milioni 6 ukiwafungia ndani watakula nini?

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na huu ndio ukweli mchungu

Maendeleo hayana vyama!
Kweli sasa kifafa cha hii mimba uliyonayo kimefika pabaya..sijui kama kitakuacha salama plus na hii corona..!!
 
kwa mujibu wa Rais Magufuli, Tanzania inalipa shilingi bilioni 700 kama rejesho kila mwezi kwa mashirika ya fedha ya dunia.

ameviomba vyombo hivyo, hasa world bank kuzipatia pesa nchi maskini, Tanzania ikiwemo, bila masharti ili ziweze kupambana na janga la corona na pia visamehe madeni.

karibuni kwa mjadala.

Rudia kumsikiliza kisha uje uandike habali yenye usahihi na sio kuwahi kuandika tu ili uwe wa kwanza, binadamu hata habali za mungu kwa wanadamu walichakachua kila thehebu linatafsili kivyake, dini zimekuwa nyingi mno.
 
Mkuu wetu amekumbusha tiba za asili ,ndio salama na tunamudu.Mara nyingi tumetoa rai kamati ya taifa itupe elimu na hamasa si lazima kila mgonjwa afike hospitali.Wengi tutajenga kinga immune na kuwakabili virus na kuendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani European scholars hakukosea kuhusu Africa,nimeanza kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumesikia kwenye vyombo vya habari maeneo fulani, hata hizi mask zimetolewa kwenye nchi fulani wamezikuta na corona. Vyombo vya ulinzi na usalama waanze kushughulikia vitu vya msaada visije leta madhara. Ukiletewa mask lazima ujue imetoka wapi
Baada ya ujumbe huu kusambaa.
Baadhi ya mitaa hali si shwari, raia wame conclude kuwa mask za dukani (special) zina virus kwa 100%, nimeshuhudia baadhi yao wakizitia moto.
 
Abaki huko huko Chato, asirudi mjini.
Haya akamkamate Makonda aliyepulizia Dawa ya Mbu Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200422_163450_601.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom