Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tufungue shule zote na vyuo ili ienee vizuri na watu wafe vizuri,itapendeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dahMkuu wetu amekumbusha tiba za asili ,ndio salama na tunamudu.Mara nyingi tumetoa rai kamati ya taifa itupe elimu na hamasa si lazima kila mgonjwa afike hospitali.Wengi tutajenga kinga immune na kuwakabili virus na kuendelea na maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi kibao hazina lockdown acha upotoshajiYaani dunia nzima imejifungia ndani sisi ndo wataalam
cook data!Dar es Salaam ina wagonjwa wengi kwasababu ni ‘great city’ ambayo lazima iwe na wagonjwa wengi. Nimeteua Katibu Mkuu mpya ili takwimu za wagonjwa wanaopona ziwe zinatangazwa ili wananchi wawe na confidence
Habali??? Thehebu??? Linatafsili???Rudia kumsikiliza kisha uje uandike habali yenye usahihi na sio kuwahi kuandika tu ili uwe wa kwanza, binadamu hata habali za mungu kwa wanadamu walichakachua kila thehebu linatafsili kivyake, dini zimekuwa nyingi mno.
Hapana Jo ya lini?Hahahaaaa....... Kamanda kuna ile ajali ya basi la Aboud Singida vipi uliishuhudia?
Kwa hiyo ni justification ya kufa kwa malaki?Dar es Salaam ina wagonjwa wengi kwasababu ni ‘great city’ ambayo lazima iwe na wagonjwa wengi. Nimeteua Katibu Mkuu mpya ili takwimu za wagonjwa wanaopona ziwe zinatangazwa ili wananchi wawe na confidence
Hahahaaaa........ Mi babaako wewe!Kweli sasa kifafa cha hii mimba uliyonayo kimefika pabaya..sijui kama kitakuacha salama plus na hii corona..!!
Kuanzia leo siingii jf