Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Ukiangalia kwa makini utaona kuna uzembe umefanywa kwenye kupambana na Corona ,naomba mwenyezi Mungu uwashushie mkono wako ili kuwaponya watanzania.
 
ni kweli Wizara hawatoi takwimu halis.
Data kamili inatakiwa kuwa kama ifuatavyo
Sample zilizochukuliwa ni ngapi?
Postive ngapi
Death ngapi
Waliopona na kuruhusiwa ni wangapi.
 
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
 
..Camp David ni ya Maraisi wote wa Marekani.

..huyu bwana ni muongo.

..anatuambia tusiwe na hofu, wakati yeye kajificha Chato.
Lakini sio ikulu pili raisi sio muongo tatu piga kazi huwezi nenda kwenu kajifungie hakuna atakae kutoa au huna kwenu nne au nataka nawe kwenda chato maanake hatujui unataka nini

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kweli ule msemo wa banian mbaya kiatu chake dawa. Hatimae nimeuona kwenye siasa

Baada ya rais magufuli kukaa kwa muda kadhaa bila kuongea chochote watu walikua wamesha kosa Cha kufanya Wala chakuongea. Mpaka ikafikia hatua zito akaonyesha hisia zake kwa maguful na kumtaka ajitokeze azaran Kwan wame mmis.

Leo rais kaongea kwa muda mchache tu lakini jamiforums na mitandao mingine iko inaenda ku stack sababu ya ubize hasa jamiforums Kuna Uzi mpaka unashindwa usome ip uache ip.
Kiufup magufuli kuto kuongea au kufanya shughuli zozote zile wanao athirika Kwanza ni upinzan sababu wanakua hawana hoja za kuongea Wala za kufanyia siasa



Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama rais anaongea watu si lazima wamjadili ...hata kwa wasiomkubali ukweli yeye ndio rais hivyo lazima kila kimtokacho mdomoni kitachambuliwa
 
Back
Top Bottom