Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Naona hapa alikuwa ANAMJIBU Mzee wa Mwandiga, aleunguruma BBC hivi karibuni..
 
"Hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko corona"

Hapa ninakubaliana naye kabisa, na nitaenda mbele zaidi na kuwaambia waTanzania kuwa 'Hofu ni kubwa mno kuliko kugezwa na kuwa mateka ndani ya nchi yenu wenyewe".
 
Personally naamini Magufuli kuwaita jamaa kwenda kule, kuna kikao cha siri dhidi ya baadhi ya wanasiasa na watu wanaoonekana ni wasumbufu.

Otherwise angeweza kuongea nao akiwa kule na wao wakiwa Dar.

Kuna agenda zaidi ya hii.
Sio kweli mwanasiasa upinzani tishio nani? Mbowe,zito kabwe,seif Sharif Hammad, mbatia? Ni wapinzani? Na ni viongozi Wa upinzani? Mpinzani alikuwa mtikila tu

Lisu is a crap mzurumaji kuzurumu wenzie upinzani wanampa mchongo Wa kupiga hela ukikubali anaula wote peke yake na kujikausha
 
Wakati nchi za Marekani na Ulaya zinawa kulegeza lockdowns sasa Tanzania ukiona kuwa haitawezekana kuwafungia ndani watu wote kwa Mara moja. Nchi zilizojaribu kufanya hivyo hazikupata matoe chanya dhidi ya CORONA.
Endeleeni kujitekenya hivyo hivyo, lakini nikukumbushe yafuatayo:-

Kwa Afrika Mashariki, ni Uganda na Rwanda ndio walichukua serious measures!

Wakati Tanzania tulikuwa na maambukizi yasiyofika hata 10, Rwanda walikuwa wamevuka 100, na Uganda walikuwa zaidi ya 30.

Hapa tunapoongea, wakati Tanzania ambao hatukuwa na maambukizi mengi, hivi sasa tumefika 284, na vifo 11, wakati Rwanda wapo chini ya 200, Uganda chini ya 100, na kote huko hakuna yeyote aliyekufa hadi sasa!!!

Again, endeleeni tu kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe, kama mnavyochekelea kupatiwa tiba mpya ya COVID-19 ambayo ni kujifukisha mvuke!!!!!
 
Hiyo mia ni kiashiria cha kupona wengi...usiichukue nzimanzima...subir takwimu za kesho
 
Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee

Jr[emoji769]
Umetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
 
Wenye AKILI wameshafunga biashara zao, I believe you didn't think through mkuu. Wasio na akili bado wanaganga njaa na biashara zao, sio? Hujatumia busara kufikisha ujumbe wako.

Angalia context ya msg yangu based on the opinion ya huyo alieita ni wapumbavu wanaoshauri lockdown. Kuna watu prudent ambao kwa hiari yao wenyewe na kujali maisha ya wafanyakazi na wateja wao wamefunga biashara zao.
 
Unadhani kwanini katibu mkuu wa wizara ya afya kahamishwa na mganga mkuu wa serikali kaondolewa?!
 
JokaKuu,

boss kama kuna maraisi/ mawaziri wakuu wanapata ugonjwa wakiwa ikulu kuna ubaya gani yeye kuzungumzia akiwa home lockdown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…