Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

I wouldn't care less about someone who is using a fake name and on top of that he/she is misinformed.
Eti misinformed!! Kipi kati ya nilivyotaja ambavyo huyo mungu mtu wako hajasema?!

Again, sina muda mchafu wa kumsikiliza Jiwe cuz' he doesn't have what it takes to have my attention!

Sorry to disappoint you!!!
 
Rais Magufuli hakupepesa macho alipowaruhusu watanzania waendelee na shughuli zao za kujipatia riziki huku wakiendelea kuchukua hatua mbalimbali za kujilinda. Kwa Mara ya kwanza hata wazungu wamemuona Kama kiongozi mwenye maono ya mbali asiyekuwa bendera fuata upepo wa wazungu.

Wakati nchi za Marekani na Ulaya zinawaza kulegeza lockdowns sasa kwa wananchi waoTanzania ilishaonaga tangu mwanzo kuwa haitawezekana kuwafungia ndani watu woote kwa Mara moja. Nchi zilizojaribu kufanya hivyo hazikupata matokeo chanya dhidi ya CORONA.

Sio kila kitu lazima tuwaige wazungu Kama kasuku Kama baadhi wa maRais wa Africa walivyoumbuka. Sasa hivi mataifa yanahangaika kujibu maswali ya watu wao wanaozishindwa lockdowns, hata Rais Trump ameona upuuzi wa lockdowns kijamii na kiuchumi.

Tutamkumbuka hakiyaMungu huyu mswahili wetu akimaliza ngwe yake.
 
Ukuaji wa miji katika Tanzania unaonekana kuwa ns uhusiano changamani sana.Leo kuuvunja uhusiano uliopo kati ya miji mikubwa hususani Dar es Salaam na mikoa mingine ni jambo litakalorudisha nyuma maendeleo ya mikoa mingi kuliko tunavyodhani.
Uwili shirikishi na changamani kati ya Mijini na vijijini ni chachu ya maendeleo katika maeneo mengi Duniani.Maeneo ya vijijini yana uhusiano mkubwa sana na yale ya mijini, uhusiano ambao ndiyo unaosukuma maendeleo kwa kuruhusu mtiririko wa pesa, maarifa, taarifa n.k.

Ukuaji wa mji kama Dar es Salaam kwa kiasi umetokana na sera pendeleo " urban bias policy"..

Dar es Salaam leo ni kama " primate city" na wakati huo ni "hub"inayojiunganisha na miji mingine mikubwa Duniani.

Kuifunga Dar es Salaam ni sawa na kumundoa Kiongozi kwenye kundi la watu na kuwaacha wajiongoze wenyewe.

Aina ya miji yetu na uhusiano wake vinaweza kutufanya kuchangia uamuzi wa tofauti kuliko ule wa kufungia "lockdown".Siyo lila kitu kinafaa kuitwa na kutumia kama kilivyo.Tunaweza tukajifunza na kuboresha kulingana na mazingira yetu.
 
Walio samehewa madeni na Benki ya Dunia si waliomba ndio wakapata msamaa so why Mr presidaa, ni kama anaomba huruma ya benki ya dunia pasipo kuomba au waliomba wakakataliwa?!
 
Hizo takwimu za vifo huko USA ni propaganda. Hujiulizi kwanini wanaandamana kupinga lockdown?

Senti bai yuzingi tecno T301
Akili zenu zinafanana,mmejaa upuuzi!Dunia iko kwenye Crisis nyinyi mnaleta porojo,shame on you,period!
 
Akili za madesa hizi!
Tangu mwaka jana mwezi kabla ya Nov. ugonjwa ulikuwepo na ni airborne disease,unadhani ugonjwa ulikuwa unakusubiri wewe uugundue ndipo uenee?

Au unadhani kitendo cha ugonjwa kuanza tu na mtu ndio kaugundua?
Unafikiri kusoma code za protein wa virus na kumtofautisha na virus wengine ni rahisi kama kusoma nyuzi za jf?


Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mapunguani wa kichwa endelezeni propaganda mfu kwenye mambo serious!Akili zenu na Jiwe ni hizo hizo ila alichowazidi yeye ni kwamba yeye kaenda kujificha Chato!Mtateketea kama kuku,shwain kabisa!
 
Unachekesha...yaani nitumie madakika kadhaa kumsikiliza Magufuli?! That will never happen!!

Btw, Magufuli aliyeita barakoa ni mavitambaa ya puani, atashindwa nini kusema barakoa zina coronavirus au ukijifukisha unaweza kuua coronavirus?! Ikiwa amesema
Kumbe unamfuatilia kimya kimya. Yaani comment moja ila unajipinga hapo hapo. Bavicha at ur best!
 
Waliofanya fumigation siyo wajinga. Utafiti uliofanywa na Marekani, unaonesha mabwawa ya kuogelea yaliyowekwa chlorine, virus au wanakufa au wanakuwa inactive.

Na wanaoogelea kwenye mabwawa wamehakimishiwa kuwa kama maji ya kwenye bwawa yamewekwa chlorine, hata kama mmojawapo wa wanaoogelea akawa ana virus vya corona, hawezi kuwaambukiza wengine kwa kupitia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona Marekani wakifanya fumigation mitaani
 
"Lakini pia taarifa zetu ziendane na ukweli hasa katika watu wanaopona. Nina taarifa kwamba mpaka leo tulikuwa na wagonjwa 284, lakini naambiwa karibu 100 ya wagonjwa walishapona. Hizi takwimu za wagonjwa wanaopona nazo zitangazwe ili kuwaondolea hofu wananchi" - Rais John Magufuli.
Vurumai vurugu tupu tanzania.
 
Unapata ugonjwa bila ya kujua na inaweza chakua hata wiki mbili Corona wanafanya yao.

Dalili zinapoanza kujitokeza kupitia mafua halafu homa hiyo ndio main attack ya Coronavirus na yenyewe ina average ya 7-14 kwenye kipindi iko wale wa severe case bila ya kupata Oxygen safari na wale wa moderate makashkash ya ku deal na virus yanaendelea na dalili zingine.

Ukipata moderate form on average baada ya wiki mbili za attack (mpaka tatu) homa inakwisha kabisa utajiona umepona hila bado una virus mwilini (nadhani washauri wake awajamwambia kuna stage three).

Kutoa kabisa Virus (recovery process after the attack) na yenyewe inachukua wiki moja mpaka nne (si jambo la kushangaza kufika wiki 8) kinachotokea muda huo leo unajiona mzima, kesho homa, keshokutwa koo limekauka, mchana kifua kinabana, usiku homa, kesho mzima, usiku pumzi inakata; in short ni kwamba unaishi na dalili za Corona na ukiacha dawa chamoto utakiona.

Sometimes I ask my self why do I even care
 
Kumbe hawa jamaa wanaweza kupandikiza virus wa corona kwenye barakoa hizi wanazotupa misaada!!!
Tunawakwepaje kwenye "test kits" maana najua hatutengenezi hapa nchini!!

Mtukufu rais umenifanya nifikirie uhalali wa hospitali maana 95% ya vifaa tiba na madawa ni ya hao watupao misaada.

Leo umesema eti nchi yetu ni maskini? (sikusikia vizuri kipande hicho)

Mtukufu rais tumekumiss dar salaam.
 
Ushauri wa bure fuateni maelekezo ya madaktari na yale ya shirika la afya duniani (WHO).
Hawa wahuni wengine ni vyema mkawapuuza, wapuuzeni wao na kauli zao za kihuni.
People are dying out there, we're all ignorant to a tragedy until it happens to you.
Chukua hatua, you're on your own....ilinde familia yako na jilinde pia.
Korona inaua.
Yeye kaenda kujificha chato,kwani yeye mjinga?Watu wengine hata akili ya kujiongeza hawana!
 
Back
Top Bottom