Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
"Nimeteua katibu mkuu mpya ili hata wale wanao pona watangazwe" kuanzia kesho mtapata majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli haya ni maajabu,Alafu Mwingine ni Makonda,inahitaji uchunguzi hapo?
Man, we acha tu... ndo hapa Waswahili hufikia kusema "yetu macho"!Huyu mzee ni kiongozi mbovu, wa hovyo. Kwa alichoongea leo ni kwamba ana tatizo kubwa kuliko tunavyomdhania. Mungu tusaidie
Hawajui wamezoea kuona DJ anavyoendesha Sacco's wanajua na uraisi ni Kama mwenyekiti wa Sacco's ya ufipaUsikalili kijana,rais ni higher authority anaweza endesha shughuri zake akiwa popote pale,rais ndio Ikulu ,Ikulu sio jengo.
Mkuu, unaonaje kama ukichukua form hii 2020 tukupe kura uingie ikulu.Huyu mzee ni kiongozi mbovu, wa hovyo. Kwa alichoongea leo ni kwamba ana tatizo kubwa kuliko tunavyomdhania. Mungu tusaidie
Unajua akili mbovu za watanzania kama wewe ndizo zinazofanya nchi ionekane ya wajinga. Hivi kama ingekuwa hivyo kungekuwa na haja ya kuwa na ofisi rasmi ya Rais? Hivi unaelewa maana ya ikulu?Usikalili kijana,rais ni higher authority anaweza endesha shughuri zake akiwa popote pale,rais ndio Ikulu ,Ikulu sio jengo.
Unachekesha...yaani nitumie madakika kadhaa kumsikiliza Magufuli?! That will never happen!!
Btw, Magufuli aliyeita barakoa ni mavitambaa ya puani, atashindwa nini kusema barakoa zina coronavirus au ukijifukisha unaweza kuua coronavirus?! Ikiwa amesema
Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Acheni uongo wenu nyie watu! Eti Wamarekani wakati ni baadhi tu ya wafuasi wa Trump! Wafuasi ambao hawana tofauti na MATAGA wanaounga mkono chochote kutoka Magogoni!Kwa taarifa yako tangu juzi wamarekani hawataki tena lockdown wanaandamana mitaani.
Na huwa hapendi siasa za maji taka.
Pole sana, kumbe upo JF kuganga njaa!! Narudia, siwezi kuwa na muda mchafu wa kumsikiliza Magufuli. Kama unaumia kwa hilo, that's your problem and not mine!!Huna hiyo sababu, ndio maana JPM ni rais na wewe upo hapa JF unaganga njaa.