Serious, naanza kuwa na hofu na JPM!
There must be something wrong with this man... I don't care about hayo mambo ya lockdown lakini kwa summary ya hiyo hotuba yake, inaonesha wazi there's something wrong!
Unajifukishaje mvuke kutoka kwenye maji yaliyochemka at 100 Degree C?!
Anatarajia temperature ya huo mvuke itakuwa ngapi?! Btw, hao virus watakaokufa kutokana na huo mvuke wanakuwa wamekaa wapi?! Mbona kama anataka kuaminisha watu kwamba virus wa corona huwa wanakaa usoni?
Au mimi ndie sijaelewa... what was he trying to say?
And wait... kwamba hizi barakoa zingine zina coronavirus?! Kumbe ndo maana aliziita "mavitambaa ya puani"?! Hizi habari mbona sijawahi kuzisikia?!
What's he trying to achieve?
Btw, watu wa Dar es salaam wamsikilize nani sasa?! Baba anayesema barakoa zina coronavirus au mtoto anayesema watu wa Dar lazima wavae barakoa!! Raia wataweza vp kutofautisha kati ya barakoa zenye coronavirus na zile zilizo safe?!
I'm scared...