Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Mtaalamu nisaidie mbona Marekani wamefanya hayo yote unayoyasema lakini bado maambukizi yanaendelea tu kila siku?
Ndugu yangu Kama unaweza kuongea na wamarekani wenyewe watakuambia alichofanya Trump ni sawa na anachofanya Magufuli,unakuja kuanza kupima watu na kuweka lockdown wakati kila familia Ina mgonjwa.hivyo hizo measures hazitakuwa na msaada tena.Lakini pia unajua Kati ya majimbo 52 ni mangapi ya Corona?Boss wangu anaishi South Calorina hakuna corona hakuna lockdown,I have friends in Minnesota , Minneapolis to be specific corona ipo Ila si kwa kiwango cha New York or Michigan,Hata my otherwise work mates walioko Washington wananiambia Washington is getting better and better ni Jana tumeongea nao remember ukubwa wa Tanzania unakaribia na Jimbo moja tu la Carifonia.Sijakutajia hali ilivyo maine na Washington state
 
Yaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !

Ulitaka iongozwe kutoka wapi mkuu? JPM yuko likizo na anafanya kazi akiwa popote pale ndio uzuri wa kuwa rais sio kama wewe hohehahe ukiwa likizo hufanyi kazi.
 
Pensioners wengi ndiyo victims wa huu ugonjwa, nichelee kusema nikiangalia ni kana kuna hidden agenda, wakuu wanataka ku-wipe OFF pensioners, as pension funds zina matundu..

Haiwezekani mkubwa akawa na attitude ya namna hii..katika pandemic!

Everyday is Saturday...................... 😎
All age groups are affected differently! Inawezekana kwa utawala huu. All is possible....
 
Duuuh kweli matarumbeta akili mmeweka mfukoni!Hamuangalii USA wanavyoteketea?Eri hakuna haja ya kupima,seriously?Sasa si mtangaze tu maisha yaendelee kama kawaida na haya mambo yaishe ya kuambiana kuhusu Corona na sijui tahadhari!Kichwa maji mkubwa!
Hizo takwimu za vifo huko USA ni propaganda. Hujiulizi kwanini wanaandamana kupinga lockdown?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Ww mshamba sana

121.
 
Hukumuelewa, dah mods watu kama hawa pigine ban tu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Korona imetoka nje na kuletwa na binadamu ndani ya mwili wake, wenye akili wanajua hivyo, haijapulizwa hiyo ni fikra duni ya paranoia. Nyie endeleeni kudharau korona na kujidanganya na kudanganywa, mara haiambukizwi kwa pumzi ghafla watu wote lazima wavae bakora. Watu wanapukutika Ulaya na Uarabuni nyie mnatia mzaa.
 
Umewaza vizuri, kuna agenda za siri zitajadiliwa...

That is obvious, ndiyo maana hata hotuba yote ilijikita kwenye kudili na corona kivita, pambana na watoa taarifa, pambana na wagawa misaada.

Si ajabu ukasikia barakoa za misaada walizozitoa CDM/ACT na wapinzani wengine ukaambiwa zinaambukiza corona. Amini, sasa hivi kesi za kutakatisha uchumi zitapungua, tutahamia kwenye corona.
 
Serious, naanza kuwa na hofu na JPM!

There must be something wrong with this man... I don't care about hayo mambo ya lockdown lakini kwa summary ya hiyo hotuba yake, inaonesha wazi there's something wrong!

Unajifukishaje mvuke kutoka kwenye maji yaliyochemka at 100 Degree C?!

Anatarajia temperature ya huo mvuke itakuwa ngapi?! Btw, hao virus watakaokufa kutokana na huo mvuke wanakuwa wamekaa wapi?! Mbona kama anataka kuaminisha watu kwamba virus wa corona huwa wanakaa usoni?

Au mimi ndie sijaelewa... what was he trying to say?

And wait... kwamba hizi barakoa zingine zina coronavirus?! Kumbe ndo maana aliziita "mavitambaa ya puani"?! Hizi habari mbona sijawahi kuzisikia?!

What's he trying to achieve?

Btw, watu wa Dar es salaam wamsikilize nani sasa?! Baba anayesema barakoa zina coronavirus au mtoto anayesema watu wa Dar lazima wavae barakoa!! Raia wataweza vp kutofautisha kati ya barakoa zenye coronavirus na zile zilizo safe?!

I'm scared...
 
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.


Huo unaitwa wivu wa kike. Uzuri siku hizi tuna uwezo wa kuwasiliana na mtu popote pale ulipo duniani. Wakati wa Mwalimu hatukuwa na technology ya kuwezesha yale tunayoweza kuyafanya siku hizi. Tunakwenda na wakati wewe endelea na kukandia maendeleo ya Tanzania, hatuna nia ya kukubadili lakini ndio imeshakula kwako. Remember, if you can't beat them, …. …. Rais naye ana likizo. Likizo yake anaitumia Chato sio USA au UK au mahali pendine popote duniani. Yeye sio Vasco Da Gama?
 
Back
Top Bottom