Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
HongeraUnaishi karne ya 17 naona...
Umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraUnaishi karne ya 17 naona...
Ndugu yangu Kama unaweza kuongea na wamarekani wenyewe watakuambia alichofanya Trump ni sawa na anachofanya Magufuli,unakuja kuanza kupima watu na kuweka lockdown wakati kila familia Ina mgonjwa.hivyo hizo measures hazitakuwa na msaada tena.Lakini pia unajua Kati ya majimbo 52 ni mangapi ya Corona?Boss wangu anaishi South Calorina hakuna corona hakuna lockdown,I have friends in Minnesota , Minneapolis to be specific corona ipo Ila si kwa kiwango cha New York or Michigan,Hata my otherwise work mates walioko Washington wananiambia Washington is getting better and better ni Jana tumeongea nao remember ukubwa wa Tanzania unakaribia na Jimbo moja tu la Carifonia.Sijakutajia hali ilivyo maine na Washington stateMtaalamu nisaidie mbona Marekani wamefanya hayo yote unayoyasema lakini bado maambukizi yanaendelea tu kila siku?
Hapana mm nilikomea kwenye ujumbe wa TANUHongera
Umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya
Yaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !
Dhambi ya ubaguzi inakutesa mkuu!! Tanzania ni moja...Naodha karudi mnananga Sana nyie cdm
All age groups are affected differently! Inawezekana kwa utawala huu. All is possible....Pensioners wengi ndiyo victims wa huu ugonjwa, nichelee kusema nikiangalia ni kana kuna hidden agenda, wakuu wanataka ku-wipe OFF pensioners, as pension funds zina matundu..
Haiwezekani mkubwa akawa na attitude ya namna hii..katika pandemic!
Everyday is Saturday...................... 😎
Mazoea mwanamalevya, Kwani Dar ndo kuna nini, sanasana naye atapata corona akiendelea kukaa DarYaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !
Nimekumbuka uzi wa wanawake wa jf wekeni picha zenu halisi kwenye avatar.Na hii mtaizoea tu.
Hizo takwimu za vifo huko USA ni propaganda. Hujiulizi kwanini wanaandamana kupinga lockdown?Duuuh kweli matarumbeta akili mmeweka mfukoni!Hamuangalii USA wanavyoteketea?Eri hakuna haja ya kupima,seriously?Sasa si mtangaze tu maisha yaendelee kama kawaida na haya mambo yaishe ya kuambiana kuhusu Corona na sijui tahadhari!Kichwa maji mkubwa!
Ww mshamba sana..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Korona imetoka nje na kuletwa na binadamu ndani ya mwili wake, wenye akili wanajua hivyo, haijapulizwa hiyo ni fikra duni ya paranoia. Nyie endeleeni kudharau korona na kujidanganya na kudanganywa, mara haiambukizwi kwa pumzi ghafla watu wote lazima wavae bakora. Watu wanapukutika Ulaya na Uarabuni nyie mnatia mzaa.
Hata Mimi nipo nae pamoja katika hili, amesema ukweli mchungu kwa wafuata upepo.Ila hata mimi kwenye suala la lockdown na kuhusu kutishana namuunga mkono mzee baba...vifo vya watu 10 haviwezi kututisha kama taifa...cha muhimu ni tahadhari tu na njia mbadala nyingi zitolewe
Umewaza vizuri, kuna agenda za siri zitajadiliwa...
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Huyu mtu wa ajabu sana,anatufanya hamnazo eti tuna hofu,Chato ndo kuna ikulu? Si arudi Dar kama haogopi yaani tushafanywa kafara(Ikulu Chato). Only in Tanzania.