Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

"Lakini pia taarifa zetu ziendane na ukweli hasa katika watu wanaopona. Nina taarifa kwamba mpaka leo tulikuwa na wagonjwa 284, lakini naambiwa karibu 100 ya wagonjwa walishapona. Hizi takwimu za wagonjwa wanaopona nazo zitangazwe ili kuwaondolea hofu wananchi" - Rais John Magufuli.

Hapo alikuwa anasisitiza kwamba sio kila anayeumwa Covid-19 ni lazima afe, wapo 100 hadi hivi sasa ambao wamepona kutokana na ugonjwa huo.
 
Waliofanya fumigation siyo wajinga. Utafiti uliofanywa na Marekani, unaonesha mabwawa ya kuogelea yaliyowekwa chlorine, virus au wanakufa au wanakuwa inactive.

Na wanaoogelea kwenye mabwawa wamehakimishiwa kuwa kama maji ya kwenye bwawa yamewekwa chlorine, hata kama mmojawapo wa wanaoogelea akawa ana virus vya corona, hawezi kuwaambukiza wengine kwa kupitia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia, siwezi kuwa na muda mchafu wa kumsikiliza Magufuli. Kama unaumia kwa hilo, that's your problem and not mine!!

I wouldn't care less about someone who is using a fake name and on top of that he/she is misinformed.
 
By G Malisa:
"Hakuna virusi wanaokufa kwa fumigation. Kilichofanyika Dar es Salaam kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye fumigation ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya Corona. Suala la kupuliza dawa ni upumbavu mtupu. Hakuna kirusi cha Corona kinachoweza kufa kwa Chlorine. Naomba IGP na Vyombo ulinzi mkachunguze walikuwa na lengo gani na nani alitoa hizo dawa” Rais JPM, 22/04/2020, Chato, Geita.

Nini maoni yako??
Nini maoni yako??.. Sijipendi?
IMG-20200422-WA0185.jpg


Jr[emoji769]
 
9c
Ila nyie watu mna nini nyie? Kila kukicha nyuzi zenu zimekaa kwa mrengo wa kutakia vifo na mabaya nchi yetu. Mnatamani sana kusikia raia wa Tz milion wameathirika au kufa. Yawakute nyie na familia zenu
Taarifa kupishana huo ni utata tayari...
 
Ila nyie watu mna nini nyie? Kila kukicha nyuzi zenu zimekaa kwa mrengo wa kutakia vifo na mabaya nchi yetu. Mnatamani sana kusikia raia wa Tz milion wameathirika au kufa. Yawakute nyie na familia zenu
bro kwa status yako ilivo na zile thread zako ulizoandika miaka ya nyuma, kwakwel sikutegemea comment kama hii
mwandish hajalenga wagonjwa waongezeke bali yeye anashangaa mpishano wa taarifa kutoka kwa watu tunaowategemea watupatie taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom