Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
"Lakini pia taarifa zetu ziendane na ukweli hasa katika watu wanaopona. Nina taarifa kwamba mpaka leo tulikuwa na wagonjwa 284, lakini naambiwa karibu 100 ya wagonjwa walishapona. Hizi takwimu za wagonjwa wanaopona nazo zitangazwe ili kuwaondolea hofu wananchi" - Rais John Magufuli.
Hapo alikuwa anasisitiza kwamba sio kila anayeumwa Covid-19 ni lazima afe, wapo 100 hadi hivi sasa ambao wamepona kutokana na ugonjwa huo.