jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Hatukosei tunapolia, tunamuuliza huyu mungu aonaye sirini hau kam anauacha uongo umdhalilishe?Mtalia sana mpaka machozi yenu yawe mawe teh
lkn aliyeandikiwa kaandikiwa
Mungu ametupa amri ya kutokushuhudia uongo mbona yeye anamshuhudia lubuva kwa uongo?