Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Mtalia sana mpaka machozi yenu yawe mawe teh
lkn aliyeandikiwa kaandikiwa
Hatukosei tunapolia, tunamuuliza huyu mungu aonaye sirini hau kam anauacha uongo umdhalilishe?
Mungu ametupa amri ya kutokushuhudia uongo mbona yeye anamshuhudia lubuva kwa uongo?
 
kavulata,
Mkuu mie naogopa kuandika,kitu pekee ninachoweza kusema mtu aliyewahi kuwa mwalimu kwa sababu faulu yake ya masomo ilimlazimisha kubaki na chaguo moja tu Yaani kuwa mwalimu wa shule ya msingi ama secondari,

tusiassume tu kuwa kwa kuwa alifeli Jana Leo anaweza asifeli kwa kuwa maisha yanabadirika, Kuna nafasi zinahitaji watu wenye uwezo kusikiliza,kuanalyse na kushawishi. Walimu wa level nilizozitaja ni wazuri kwenye kuzungumza but very few wako vizuri sehemu nyingine..
 
Sasa which is which?aliyemteuwa huyu kwa taaluma yake anatoa shauri zisizo sahihi tumsikilize nani?

Wanasiasa wanatupoteza maboya,jumatatu ile ya pasaka niliamka na mafua makali nikaenda hospital kwa sababu nilikuwa na wenge nikiogopa Corona doctor aliyenihudumia akanishauri niwe nasukutua kwenye koo na maji vuguvugu yaliyotiwa chumvi kwani virus kabla hawajashuka ku-attack lungs hukaa kwenye koo siku nne pia niwe nakunywa maji ya moto kama chai ili kuwa-flush kama wameshafanikiwa kupita hatua ya kwanza,pia kwenye maji moto ya kunywa huwa naongeza na limao.

All in all ugonjwa upo na ni deadly tumuombe Mungu atuepushe nao wale tayari wanao awaponye.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yu hai nitakuja kuandika tena hapa
Hatutakiona unachotaka tuone hata siku moja. Tutaona mpango wa Mungu na siyo projection za watu wenye chuki na Tanzania kama wewe.
Tutafika salama na hili litapita, walitabiri wakubwa wako kuwa wiki mbili zilizopita Afrika itapigwa vibaya na COVID-19 na wengine walisema kuliko Italy leo wewe mjaa chuki unatabiri baada ya mwezi mmoja.
Watu kama nyie ni vizuri kuwepo ili muone Mungu anavyoipenda Tanzania.Utakufa kwa chuki za kijinga.
 
Kamgomoli, We ni mpumbavu, kweli unaweza ukawa umefanya utafiti na unajua kumzidi mkuu wa nchi? ni wapi na lini Rais kazuia kutumia vitakasa mikono na masks? Rais kaonya kuhusu masks zinazoingizwa nchini kama misaada kutoka nje kitu ambacho ni sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mpumbavu, kweli unaweza ukawa umefanya utafiti na unajua kumzidi mkuu wa nchi? ni wapi na lini Rais kazuia kutumia vitakasa mikono na masks? Rais kaonya kuhusu masks zinazoingizwa nchini kama misaada kutoka nje kitu ambacho ni sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alichokiandika ni takataka kinamfanya na yeye afuatwe na nzi kwani kinakuwa vibaya.
 
Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Vika.haba nyie mmeachwa mseme sana na sasa mnavuka mipaka, wacha muanze kushughulikiwa sasa mshike adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa mijini huko ,kwenye yale ma-sauna sijui yanaitwaje kwa kiswahili jakuzi.
siyo mvukisho unaofanyika pale?
 
Nyie endeleeni kumpotosha rais wetu, aendelee kujichoresha mbele ya media kama kinyago cha mpapure, ugonjwa ndio umeingia hivyoo...badala ya kuchukua measures ..you do nothing!?..worse mnawapa over confidence watu wapuuze wasione kama corona ni daily concern...nani aliwaambia moto unazimwa kwa moto?????????.......eti vifo ni vichache ... helooooooo?????? mtanzania hata kama ni mmoja amekufa bado hili ni tatizo LETU WOTE ,everyone has got right to live...ukipewa wewe mmoja choice ufe utakubali?? mbona mnaona sahih wenzenu kufa kwa vile tu ni wachache?
Tutamuulewa tu Lissu, probably corona itarudisha akili na uhai wetu
 
Kamgomoli, Na ukimwangalia alikuwa anaongea Kama kachanganyikiwa hivi, halafu haeleweki yuko wapi Mara ugonjwa ni hatari, Mara ni wa kawaida, Mara wamepona Mia, Mara vitisho kibao, Mara anaendeleza vitisho kwa kuwatumia polisi eti wote wanaopotosha polisi shughulika nao Wakati yeye kapotosha kwa kiwango cha dunia eti zina corona yani huyu sijui katokea wapi,

Halafu anawatukana wafadhili wake akimaliza kuwatukana anawaomba Msaada muda huo huo, yani hajulikani yuko wapi, na kuamlisha polisi eti wakamate watu huyu mzeee hayuko sawa kiukweli yani yeye anaonekana Kama polisi ikikamata watu yeye ndio furaha yake
Halafu kaenda kujificha huku anasema watu watoke ndani, sasa yeye mbona kajificha?

Halafu anasema kuwa eti unamweka mtu karantini Wakati anaonekana mzima, hivi yuko sawa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaju maleria inaua watu wangapi tz kwa siku ?
Korona kwa Africa ni kagonjwa kadogo sema tatizo ni jinsi unavyo enea na kusababisha watu wengi kuwa hospital

Send by APOLO 1
Mkuu na hiyo ndo sababu kuu ya kuitwa pandemic.Sasa huyo matanga mkuu kakariri tu chapa kazi,unachapaje kazi wakati upo hospital au unaugulia ndani?
 
mlakimtoto, Hakuna mungu mjinga wa kulinda watu wasiojielewa,wasio kuwa na tahadhali,

Hii ni nchi ya ajabu,hawajifunzi kutoka kwenye mataifa mengine ambayo hawakuonyesha mikakati seriously ya kujikinga na Covid 19,nchi kama Ecuador, Brazil,Iran,Belarus, Uturuki, halafu baada ya vifo ndo viongozi wa nchi kama Ecuador anaomba msamaha

Huu si kaugonjwa,utauwa Watanzania wengi kwa sababu ya maslahi ya viongozi,time will tell

Rais mwenyewe anataka awe mwanajeshi,anataka awe ndo waziri wa Afya,anataka awe Daktari bingwa,Kweli aliyeandika kitabu cha mfalme Juha aliona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni maji,je kwenye hewa hiyo chlorine drplet inauaje?

Tatizo ni wasomi wetu wasiotaka kuthibitisha kwa kufanya uchunguzi
Waliofanya fumigation siyo wajinga. Utafiti uliofanywa na Marekani, unaonesha mabwawa ya kuogelea yaliyowekwa chlorine, virus au wanakufa au wanakuwa inactive.

Na wanaoogelea kwenye mabwawa wamehakimishiwa kuwa kama maji ya kwenye bwawa yamewekwa chlorine, hata kama mmojawapo wa wanaoogelea akawa ana virus vya corona, hawezi kuwaambukiza wengine kwa kupitia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom