Hatukosei tunapolia, tunamuuliza huyu mungu aonaye sirini hau kam anauacha uongo umdhalilishe?Mtalia sana mpaka machozi yenu yawe mawe teh
lkn aliyeandikiwa kaandikiwa
Akili yako imeshikiliwa MboweTrump hajawahi kusema wachina walipuliza korona mitaani.
Sasa which is which?aliyemteuwa huyu kwa taaluma yake anatoa shauri zisizo sahihi tumsikilize nani?
Mungu yu hai nitakuja kuandika tena hapaMfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndio anajichosha, kujitwisha litanzania kichwani usifikiri ni kitu chepesinanyinyi mmeamua kuwa kinyume naye milele,basi mnalala mmechoka vibaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifukiza siyo ulozi ,Ulozi ni kuzungumza na kibuyu au kibuyu kuzungushwa kichwani kwako.DUU MI HUWA NAJUA MAMBO YA KUJIFUKIZA HUENDANA NA ULOZI KUMBE SIO
Huyu jamaa alichokiandika ni takataka kinamfanya na yeye afuatwe na nzi kwani kinakuwa vibaya.We ni mpumbavu, kweli unaweza ukawa umefanya utafiti na unajua kumzidi mkuu wa nchi? ni wapi na lini Rais kazuia kutumia vitakasa mikono na masks? Rais kaonya kuhusu masks zinazoingizwa nchini kama misaada kutoka nje kitu ambacho ni sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vika.haba nyie mmeachwa mseme sana na sasa mnavuka mipaka, wacha muanze kushughulikiwa sasa mshike adabu.Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe
Sent using Jamii Forums mobile app
hili ndio jambo la msingi sana kufanya.Sema watu wamemmpuuza sana sababu yeye kajifungia alafu anawatia wenzie rehani.
Kapuuzwa sana na wananchi safari hii.Wananchi wameamua kujiongeza na kuchakata akili zao
Tutamuulewa tu Lissu, probably corona itarudisha akili na uhai wetuNyie endeleeni kumpotosha rais wetu, aendelee kujichoresha mbele ya media kama kinyago cha mpapure, ugonjwa ndio umeingia hivyoo...badala ya kuchukua measures ..you do nothing!?..worse mnawapa over confidence watu wapuuze wasione kama corona ni daily concern...nani aliwaambia moto unazimwa kwa moto?????????.......eti vifo ni vichache ... helooooooo?????? mtanzania hata kama ni mmoja amekufa bado hili ni tatizo LETU WOTE ,everyone has got right to live...ukipewa wewe mmoja choice ufe utakubali?? mbona mnaona sahih wenzenu kufa kwa vile tu ni wachache?
Mkuu na hiyo ndo sababu kuu ya kuitwa pandemic.Sasa huyo matanga mkuu kakariri tu chapa kazi,unachapaje kazi wakati upo hospital au unaugulia ndani?Unaju maleria inaua watu wangapi tz kwa siku ?
Korona kwa Africa ni kagonjwa kadogo sema tatizo ni jinsi unavyo enea na kusababisha watu wengi kuwa hospital
Send by APOLO 1
Hakuna....nao ni upuuzi mtupuNITAJIENI NCHI ILIYOWEKA MAOMBI SIKU TATU
Acheni kuua watu kwa uroho wa madaraka ke..ng nyieVika.haba nyie mmeachwa mseme sana na sasa mnavuka mipaka, wacha muanze kushughulikiwa sasa mshike adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliofanya fumigation siyo wajinga. Utafiti uliofanywa na Marekani, unaonesha mabwawa ya kuogelea yaliyowekwa chlorine, virus au wanakufa au wanakuwa inactive.
Na wanaoogelea kwenye mabwawa wamehakimishiwa kuwa kama maji ya kwenye bwawa yamewekwa chlorine, hata kama mmojawapo wa wanaoogelea akawa ana virus vya corona, hawezi kuwaambukiza wengine kwa kupitia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app