Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Richard,
Shida asiseme no lockdown halafu yeye akaenda kujificha, abaki mjini tu kama kama Boris Johnson,
 
Hili jambo nilikuwa naliona ni tiba sahihi, lakini kwa sasa ninalifikiri mara 2, maana sijawahi kuwaamini wanasiasa....kanipa wakati mgumu!

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Wewe mleta mada mkuu kavulata ulidhani jiwe ni NGIRI ? Yàani kitimoto ya porini ! FALA?
Jiwe sio ngiri sio fala yaani jiwe angezaliwa enzi za adamu na hawa shetani asingekuwa nyoka ! Shetani haki ya mungu angekuwa sungura
 
Sipendi kubishana najua ninachoongea... Nibishie kwa ithibati sio maneno

Jr[emoji769]
 
kavulata,
Matokeo chanya ya Lockdown hujayaona China...!?

Ni ukweli kuwa Lockdown Afrika ni ngumu. Lakini hiyo haimaanishi kuwa tusifuate maelekezo ya wataalamu.
 
Kamgomoli,
Unafahamu akili ya Taifa inafanya kazi na nani hasa? Unafahamu Rais anapata taarufa nyingi ku
cutelove,
Umendika nini sasa hapo? Hujaelewa chochote umejaa chuki tu. calm down leta hoja mezani.

Haipo njia moja ya kutatua tatizo " principle of equifinality" ..there are multitude ways of reaching to the same goal"..usikariri.

Kuwa mpole Tanzania siyo Ecuador ingawa tunaweza kujifunza ila suala la msingi ni kuuhusisha na mazingira yetu " to contextualize".

Profesa Wadada Nabudere aliwahishauri sana juu ya "glocalization" kwenye African developmental states.

Usiandike sana hisia zako kwa sababu utatuletea chuki za kipuuzi andika hoja yako ya msingi na hoja inabomolewa na hoja nyingine siyo maneno ya vijembe eti " Subiri mtaona"
Calm down.

Rais anataka upuliziaji uwe wa uhakika ndiyo maana umeshauri dawa ziwe sahihi na m hanganyiko uwe sahihi ( amekosea nini).

Rais umeshauri vifaa vya kujikinga vizalishwe Nchini kwani tuna viwanda vyetu hata kama ni vichanga ni vyetu na hili litatupa uhakika zaidi na kukidhi mawanda mapana ya uhitaji ( amepotosha wapi?).

Rais ameshauri tujaribu na njia nyingine ...limetumika neno tujaribu na mfano mmoja wapo ni kufukiza ingawa tunaweza kujaribu njia nyingi zaidi kama wanavyojaribu Nchi nyingine ( shida ipo wapi?).

Angalia time lap na vyanzo vya taarifa vya Rais na vile vya wengine usikurupuke.
 
bado hujafiwa wewe ukifiwa na uwapendao wakazikwa kwenye makaburi ambayo wewe hutaweza kufika ndio utatia akili
Unaju maleria inaua watu wangapi tz kwa siku ?
Korona kwa Africa ni kagonjwa kadogo sema tatizo ni jinsi unavyo enea na kusababisha watu wengi kuwa hospital

Send by APOLO 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Rost si ni mashine za kupuliza sanitizer? Mbona tuna mix madesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana zile mashine za Rostam sio kemikali za sanitizer (alcohol based), bali ni Chlorine kabisa. Ni mfumo wa fumigation kwa 100%.

Kuweza kukuelewesha tu, Sanitizer inatumika katika ngozi (mikononi) kwa kupakwa lakini sio kwa kufyatua matone na kukaa juu ya vitu.

Zile mashine za Rostam ni fumigation, zinafyatua maji yenye mchanganyiko wa dawa ya Chlorine ili kupaka juu ya vitu ikiwemo ngozi, nguo, chuma nk.

Binafsi naamini mashine za Rostam ziko sahihi kabisa kisayansi kuua virusi au kupunguza uwezekano wa virusi kukaa mahali, na zitakuwa msaada mkubwa kwa watu wengi katika kupambana na Corona japokuwa Rostam amezitoa kisiasa zaidi ili kujitafutia mlango wa kuaminika na kukubalika katika serikali na mwisho wa siku kuvuna vya bure kutoka serikalini kwa njia ya kusamehewa kodi na tenda kubwa za kibiashara.
 
Unataka mpaka ndugu yako afe kwa Corona ndiyo uamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…