johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Endelea kukariri bwashee!Wewe mtu ni bonge la msukule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kukariri bwashee!Wewe mtu ni bonge la msukule.
Nafanya kazi mochwari
Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Za kuambiwa changanya na zako,yeye kaenda kujificha chato halafu anakwambia piga kazi haka ni kaugonjwa kadogo!
Sipendi kubishana najua ninachoongea... Nibishie kwa ithibati sio manenoUmetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Unaju maleria inaua watu wangapi tz kwa siku ?
Korona kwa Africa ni kagonjwa kadogo sema tatizo ni jinsi unavyo enea na kusababisha watu wengi kuwa hospital
Send by APOLO 1
Hapana zile mashine za Rostam sio kemikali za sanitizer (alcohol based), bali ni Chlorine kabisa. Ni mfumo wa fumigation kwa 100%.Kwani Rost si ni mashine za kupuliza sanitizer? Mbona tuna mix madesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mpaka ndugu yako afe kwa Corona ndiyo uamini?Umetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Cha ajabu tunaishi nao kama huyu ....namfahamu sana tu.Mkuu hawa ndio watanzania huwa hawaoni jema hotuba nzima wanapotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee unaijua state au unaiskia??Sasa kwanini polisi wamezuia press conference ya chadema lakini hawazuii hii