Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Afadhali...ni bora watufuche tu,hii minamba inawapa watu hofu
 
Umeambiwa above. Inaelekea Rais wetu anasoma sana social media na anaangalia sana YouTube. Kasema hadi ya vitunguu. Nimecheka. Yani ana majibu rahisi kwenye maswali magumu.

mkuu you are better than this bana! bibi yako hajawahi kukufukiza kijijini? ama kama ni familia bora hujawahi hata kufanyiwa steaming saluni? ule mvuke unaoelekezewa usoni tena sometimes wanakufunika na kitambaa kikubwa hua ni kama centigrade ngapi kwa kukadiria? acha kuzingua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hatua zinazochukuliwa na nchi za mabeberu hawakutakiwa kuwa na kesi mpya kwenye nchi zao kabisa kwahiyo mkuu wetu wa kaya ana kila sababu ya kutilia mashaka maelekezo na misaada yao
 
Yeye kaenda kujificha chato,kwani yeye mjinga?Watu wengine hata akili ya kujiongeza hawana!
Its more like kafichwa, acha waziri mkuu na waziri wa afya wawe frontline wakifa hao wa bunge ni wengi unachagua tu wengine.
Kama chess tu mbele wanaenda pawns.
 
Acha u s e n g e wewe, usiamini kila unacho ambiwa na wazungu, na usijifanye unajua kila kitu.
We mpuuzi simu yenyewe unayotumia umeletewe na mzungu , nguo ukilizovaa , chanjo zote kwenye damu yako , hata herufi unazotumia ni za mzungu..

Halafu leo unajikakamua eti usimuamini mzungu.. wewe hata huo mualobaini wako na mvuke wa 100 degree umeufanyia utafiti gani hadi ukatae utafiti wa wazungu??

Watu kama nyie ndio manafanya hadi nchi inaonekana ya hovyo sababu ya kuropoka kwenu.
 
JokaKuu, Kila wilaya kuwa na Ikulu ndogo halikuwa suala la bahati mbaya ila umuhimu wake ndio kama huu... Rais anaweza kuendelea na majukumu yake popote haya mengine ni kumuonea gere, kupepeta maneno vijiweni ivyo tu.... Imeisha hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why chato? Na sio Dar au Dodoma? Na kwa nini akimbilie chato sasa???? Bonge ya weakness kaonyesha..
 
mlakimtoto, p
Kwahio rais aliambiwa kwamba ukimfukizia mtu mvuke wa 100 degree unaua virusi😂😂😂
Hao washauri wake basi wanazidiwa hata na mtoto wa mwaka wa 3 MD... kama kuna team ya washauri inasema kwamba chlorine haina kazi kwa virus??
 

Kalia chupa basi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka 7
3 "Nami nitaufanya mgumu moyo wa Farao, nami nitazifanya kuwa nyingi ishara zangu na ajabu zangu katika nchi ya Misri.

4 Lakini Farao hatawasikiza ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuna safari ndefu mno duh!!

Haya hima hima watanzania ni mwendo wa kujifukiza mvuke wa 100 degrees lazima corona afe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…