Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu, ndo yamekuwa haya..!!!Acha u s e n g e wewe, usiamini kila unacho ambiwa na wazungu, na usijifanye unajua kila kitu.
Hakika,maana anaongea km mzee meko kabsa! Hawa ndo wamemuharibu mkuu wetu hakuaga vile aisee.Inawezekana ndio mshauri mwenyewe
Ikulu ni sehemu yoyote Rais alipo muda huo.Yaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !
Za kuambiwa changanya na zako!Tupige kazi wakati yeye kajificha,chukua hatua!Its more like kafichwa, acha waziri mkuu na waziri wa afya wawe frontline wakifa hao wa bunge ni wengi unachagua tu wengine.
Kama chess tu mbele wanaenda pawns.
Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Wao walitaka kutoa taarifa au maoni yao kama chama siyo serikali. Mbona ACT, CUF wametoa?Uwage na akili bac chadema ni chama kama ccm na hiyo ni serekali ambayo inaongoza chadema na ccm
Sent using Jamii Forums mobile app

Mm nakaa mbezi beach waliokufa kwa corona wanaenda kuzikwa mbweni kwa siku zinapita gari kama 6 hivi. Kama huamini njoo ushinde mitaa hii utajionea ambulances zinavyopishana. Punguza mahaba mzeeUmetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Akili bora inayofanya kazi katika mazingira ya hali ilivyo sasa, Asante sana.Only time will tell njia gani ni bora,tuombe uzima.